Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
MO AREJEA KITINI SIMBA SC
Mfanyabiashara Mohamed Dewji ametangaza kurejea kwenye nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba kufuatia ombi la Salim Abdallah Try Again aliyejiuzulu nafasi hiyo jioni ya leo Juni 11, 2024.
Akizungumza kupitia ukurasa wake wa Instagram, Dewji amesema lengo la kurejea ni kuweka mambo sawa baada ya klabu hiyo kuwa na mwenendo mbaya kwenye mashindano mbalimbali kwa kipindi cha miaka mitatu tangu aondeke kwenye nafasi hiyo.
Dewji amesema amemuomba Salim aendelee kuwa mjumbe wa bodi, ombi ambalo limekubaliwa, na hivi karibuni atatangaza wajunbe wengine watakaounda bodi hiyo ili kuisimamisha upya Simba.
"Ninarejea nikiwa na nguvu na ari mpya mpaka Simba itakaporejea kwenye hali yake ya kawaida", amesema Dewji na kuongeza:-
"...naongozwa zaidi na ushabiki wa Simba, siyo uwekezaji, wala ufadhili wala udhamini......sitaiacha Simba leo wala kesho".
Je, umefurahi!!?
[emoji3578] @amosimasokotz
#SimbaSC #MoDewji