Mo: mtanipiga mniue Simba sihami ng'o

Mo: mtanipiga mniue Simba sihami ng'o

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
MO AREJEA KITINI SIMBA SC

Mfanyabiashara Mohamed Dewji ametangaza kurejea kwenye nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba kufuatia ombi la Salim Abdallah Try Again aliyejiuzulu nafasi hiyo jioni ya leo Juni 11, 2024.

Akizungumza kupitia ukurasa wake wa Instagram, Dewji amesema lengo la kurejea ni kuweka mambo sawa baada ya klabu hiyo kuwa na mwenendo mbaya kwenye mashindano mbalimbali kwa kipindi cha miaka mitatu tangu aondeke kwenye nafasi hiyo.

Dewji amesema amemuomba Salim aendelee kuwa mjumbe wa bodi, ombi ambalo limekubaliwa, na hivi karibuni atatangaza wajunbe wengine watakaounda bodi hiyo ili kuisimamisha upya Simba.

"Ninarejea nikiwa na nguvu na ari mpya mpaka Simba itakaporejea kwenye hali yake ya kawaida", amesema Dewji na kuongeza:-

"...naongozwa zaidi na ushabiki wa Simba, siyo uwekezaji, wala ufadhili wala udhamini......sitaiacha Simba leo wala kesho".

Je, umefurahi!!?

[emoji3578] @amosimasokotz

#SimbaSC #MoDewji
1717987672634.jpg
 
#SimbaSC #MoDewjiView attachment 3015132
Anatambua kwamba Simba SC Ndiyo Ina mkweza duniani
 
Jamaa anaichezea Simba sana anajua hakuna vichwa anaacha kimvuli baadae anajiteua anarudi kazini...Mo anapata sana faida Simba kuliko Timu...
Kichwa kilichobakia Simba ni Mangungu tu!

Hii klabu inaendeshwa kiuni, yaani anajiteua na kujitangaza kama mwenyrkiti wa bodi akiwa CHUMBANI KWAKE!

Aibu sana hii kwa Simba.

Screenshot_20240612_085228_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom