Mo: mtanipiga mniue Simba sihami ng'o

Mo: mtanipiga mniue Simba sihami ng'o

Wazee mmeiona hii comment? Anakwambia pamoja na Matrillion ya Mo na maviwanda yake Afrika nzima ila Simba ndio inamkweza.

Wazee sio poa!
Anatumia Simba kwenye matangazo yake kirahisi sana huyo jamaa kaona mbali..biashara bila matangazo hakuna kitu sasa hivi bidhaa zake zinashindana sokoni na bidhaa za Bakharesa...
 
MO AREJEA KITINI SIMBA SC

Mfanyabiashara Mohamed Dewji ametangaza kurejea kwenye nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba kufuatia ombi la Salim Abdallah Try Again aliyejiuzulu nafasi hiyo jioni ya leo Juni 11, 2024.

Akizungumza kupitia ukurasa wake wa Instagram, Dewji amesema lengo la kurejea ni kuweka mambo sawa baada ya klabu hiyo kuwa na mwenendo mbaya kwenye mashindano mbalimbali kwa kipindi cha miaka mitatu tangu aondeke kwenye nafasi hiyo.

Dewji amesema amemuomba Salim aendelee kuwa mjumbe wa bodi, ombi ambalo limekubaliwa, na hivi karibuni atatangaza wajunbe wengine watakaounda bodi hiyo ili kuisimamisha upya Simba.

"Ninarejea nikiwa na nguvu na ari mpya mpaka Simba itakaporejea kwenye hali yake ya kawaida", amesema Dewji na kuongeza:-

"...naongozwa zaidi na ushabiki wa Simba, siyo uwekezaji, wala ufadhili wala udhamini......sitaiacha Simba leo wala kesho".

Je, umefurahi!!?

[emoji3578] @amosimasokotz

#SimbaSC #MoDewjiView attachment 3015132
Nikajua amekuja kujibu Hoja za CPA 😅
 
Mo hajawai kuiacha Simba, Ila anatokea kwenye matukio yenye faida kwake.
Simba day alipokuja rais alikimbilia kuhutubia, alipokuja rais wa fifa alikuwa bega kwa bega.
Simba Kila ukikaribia kupata pesa za caf lazima atoe kauli tata
 
Mkuu hivi pesa za CAF inazopokea Simba ni shingapi kiasi aziletee shobo kiasi hicho?
 
Hii clabu wanajimilikisha tu. Ya ukoo hii
 
🤣🤣Nashangaa eti mtu yuko chumban kwake anajirekodi anajitangaza kuwa yeye ndo mwenyekiti yaani anajipachika bila utaratibu, simba amkenI bana..khaaa
 
Mkuu hivi pesa za CAF inazopokea Simba ni shingapi kiasi aziletee shobo kiasi hicho?
Hivi unafatilia Simba kweli? Kama unafatilia usingeuliza Hilo swali. Usichoelewa ni ngumu tajiri kuridhika siku zote anawaza kupata zaidi. Malengo ya mo sio kuwa miongini mwa matajiri wakubwa Afrika Bali kuwa tajiri namba moja, utajiri wake usikupumbaze ukawaza hazikodolei macho pesa za CAF
 
katiba ya simba iheshimiwe tafadhal. kama hutaki kaanzis
MO AREJEA KITINI SIMBA SC

Mfanyabiashara Mohamed Dewji ametangaza kurejea kwenye nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba kufuatia ombi la Salim Abdallah Try Again aliyejiuzulu nafasi hiyo jioni ya leo Juni 11, 2024.

Akizungumza kupitia ukurasa wake wa Instagram, Dewji amesema lengo la kurejea ni kuweka mambo sawa baada ya klabu hiyo kuwa na mwenendo mbaya kwenye mashindano mbalimbali kwa kipindi cha miaka mitatu tangu aondeke kwenye nafasi hiyo.

Dewji amesema amemuomba Salim aendelee kuwa mjumbe wa bodi, ombi ambalo limekubaliwa, na hivi karibuni atatangaza wajunbe wengine watakaounda bodi hiyo ili kuisimamisha upya Simba.

"Ninarejea nikiwa na nguvu na ari mpya mpaka Simba itakaporejea kwenye hali yake ya kawaida", amesema Dewji na kuongeza:-

"...naongozwa zaidi na ushabiki wa Simba, siyo uwekezaji, wala ufadhili wala udhamini......sitaiacha Simba leo wala kesho".

Je, umefurahi!!?

[emoji3578] @amosimasokotz

#SimbaSC #MoDewjiView attachment 3015132
kaanzishe timu yako
 
Mo hajawai kuiacha Simba, Ila anatokea kwenye matukio yenye faida kwake.
Simba day alipokuja rais alikimbilia kuhutubia, alipokuja rais wa fifa alikuwa bega kwa bega.
Simba Kila ukikaribia kupata pesa za caf lazima atoe kauli tata
Haha ....watu mnafahtilia
 
Back
Top Bottom