Mo pamoja na METL out, tutafute wawekezaji ambao wapi serious na biashara

Unadhani kupata muwekezeji ni Rahisi kiivyo km unavyoropoka


Man u anapigwa kila siku hawabadilishi sembuse nyie walalahoi
 
Wapo wengi sana, hizi team zina fun base kubwa sana,ndio maana wadhamini wanamininika kila siku

Sasa kama hawapo kwa nini KANJIBAI na familia yao hawataki kuiachia team,miaka nenda rudi

Kanjibai out,hatutaki kufa kwa presha
 
Wapo wengi sana, hizi team zina fun base kubwa sana,ndio maana wadhamini wanamininika kila siku

Sasa kama hawapo kwa nini KANJIBAI na familia yao hawataki kuiachia team,miaka nenda rudi

Kanjibai out,hatutaki kufa kwa presha
Amewekeza bilioni ishirin halafu aondoke? ebu kuwa serious kidogo
 
Simba inaingiza hela nyingi sana,inaweza. Kujiendesha yenyewe bila haya makanjibai
 
sio kweli wamuongezee mo hisa zaidi ya 50 alafu tuone, kilichopo bado mo hana nguvu klabuni bado anapigwa kimchongo hasa kunaulazima gani manula kucheza gemu ya jana yani usanii tu kubalance furaha ya mashabiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
49 percent ni hisa nyingi sana,na by the way hata upande wa simba,viongozi waliowekwa ni kama wamewekwa na mo,
Tatizo mo ni mbahili,na pia hata uwekezaji wake simba haueleweki, mara atumie 60bilion,mara 80 bilion
Hatujui yale matangazo ya bidhaa zake simba inafaidika vipi
Yaani ni vurugu tupu
Asepe tu,kanjibai atufai kabisa
 
sure shida ya simba ni uongoi sio wachezaji kabisa..
 
Mpaka mseme, mngefunga usingeleta mada kama hii hapa, mkifunga maneno mkifungwa maneno.
 
Tujiandae, hii wiki tutasikia mengi.
Wenzetu wakifungwa tu wanatafutana uchawi, sisi huwa tunashikamana kama team... I love Yanga.
Afadhali sisi..Nyie hua mnafika mbali kwa kucharazana bakora kabisa
 
Kwani mo simba kawekeza kiasi gani? Lakini simba inaingiza kiasi gani?kwa nini asiwafukuze hao madalali unaowasema? Yeye si ndio kawarudisha?

Mpira wa wakati ule na wa sasa hivi ni tofauti,sasa hivi watu wameshaona faida ya kuwekeza kwenye mpira,kwa hiyo automatically timu zimeshaanza kufanya mambo kitaalamu,ila sisi simba ndio bado tupo nyuma ya wakati,na anyeturudisha nyuma ni huyo kanjanja wako...ule uwanja wa bunju ni uwanja wa hadhi ya simba kweli?
 
Mkuu, angalia walivyotufunga 2 mechi ya mwisho mwa ligi, hatukulaumiana.
Funga kazi ile fainali tuliyopoteza kwa kanuni, tulishikamana tukakubali kupoteza, hakuna aliyemlaumu yeyote.
Naipenda sana hii spirit yetu Yanga.
Pamoja sana
 
Mkuu, angalia walivyotufunga 2 mechi ya mwisho mwa ligi, hatukulaumiana.
Funga kazi ile fainali tuliyopoteza kwa kanuni, tulishikamana tukakubali kupoteza, hakuna aliyemlaumu yeyote.
Naipenda sana hii spirit yetu Yanga.
Pamoja sana
 
Simba inaingiza hela nyingi sana,inaweza. Kujiendesha yenyewe bila haya makanjibai
Jibu ni dogo, wew akili huna,

Kwa Tz hakuna team yenye mapato makubwa kama Yanga, ila kwenye Budget yao walikuwa na deficit ya 6B,
Haya nambie unadhani deficit kwa Simba itakuwa ngapi ? Nani atafidia ?

Uwanjani hamuendi unless ni Simba Vs Yanga Vs Azam,

Kadi hamlipii, App hamsajili, Jersey mnanunua feki, then unasema klab inaendeshwa kwa faida 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…