Mo Salah: Mchezaji bora anayepoteza muda wake Liverpool

Unaongelea game ya leo au kwa Ujumla?Waamuzi wa leo lazima watahojiwa na FA.Very controversial two penalties.Kama atapata nafasi ya kucheza UEFA Champions league si mbaya
 
Game ya leo shida tupu, liva wameonewa kwa kweli.
 
Ningekuwa nimepata nafasi ya kumshauri Mohamed Salah ningemshauri abaki Liverpool kama shukrani sababu ni kama timu pekee iliyomthamini katika timu kubwa duniani maana Hata Roma nao walimwachia aende Fiorentina.

Kuhusu mshahara nadhani Klopp sio muda atampandishia maana kuna wave ya kupanda mishahara pale EPL. Isitoshe ndio kinara wa timu kipindi hiki pale Liverpool, hio itawapa Pressure wamuongezee mshahara.
 
Honestly speaking mkuu.
 
Kabla hajaja kupoteza muda lfc je,ulikuw unaujua ubora wake ambao anao sasa?Hv n nan aliyefany Sarah ajiamin na kucheza sok la kuvutia kama c lfc na fans wake? Bac mwache apoteze muda maana hata ww wako unapotea kwa kumjadil yeye kweny kaz zake.Mind your business.
 
Rmadrid akanyanyue makwapa
 
Hioomichezo yamishajara anaiweza.Mendez pekee anakupa mda uwezi namwamisha mchezaji
 
Huyu mtoa uzi nadhani amemjua salah akiwa Liverpool. Kabla ya Liverpool salah alikuwa na sifa zipo kubwa katika ulimwengu wa soka? And again, salah amecheza kwa mafanikio msimu huu tu, unawezaje kumwona magician kwa msimu mmoja tu? Halafu je kwa upeo wa mleta uzi ni kweli kwamba man city > Liverpool? Uzi huu hauko vizuri, una jicho la wivu nadhani mleta uzi ni shabiki wa man city.
 
Mwezi wa sita atatua Real Madrid
 
Mwezi wa sita atatua Real Madrid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…