Mo Salah: Mchezaji bora anayepoteza muda wake Liverpool

Haiwezekani kila siku yeye ndio anayeibeba timu huku wenzake wakimuangusha, nafikiri baada ya msimu huu aombe kuuzwa naamini Man City ndio sehemu sahihi kwake, vinginevyo pale Liverpool ataishia kupigiwa makofi na scouser huku mataji akiyasiki jirani.

Liverpool 3 - 0 Sehemu Sahihi
 
Haiwezekani kila siku yeye ndio anayeibeba timu huku wenzake wakimuangusha, nafikiri baada ya msimu huu aombe kuuzwa naamini Man City ndio sehemu sahihi kwake, vinginevyo pale Liverpool ataishia kupigiwa makofi na scouser huku mataji akiyasiki jirani.
Tunasafari ndefu sana ya kujua mpira hasa wabongo,,ni sehemu gani sahihi ya kila mchezaji,
 
Wabongo bana Yani mtu ana msimu mmoja tu tayari mshasema hafai kucheza Liverpool?[emoji34][emoji34]
 
Haiwezekani kila siku yeye ndio anayeibeba timu huku wenzake wakimuangusha, nafikiri baada ya msimu huu aombe kuuzwa naamini Man City ndio sehemu sahihi kwake, vinginevyo pale Liverpool ataishia kupigiwa makofi na scouser huku mataji akiyasiki jirani.
Your brain is foolish and stupid unavoongea hvyo usikute nyie ndo wale mnaolelewa
 
Wakitoka EPL wanaenda kuua vipaj vyao, unakuta bench kwa Sana au wanafunikwa hatuwasikii tena, Suarez alivyokuwa na Jina EPL, Leo hii kamezwa hasikiki tena, unaeza dhani ni Rooney au Drogba kabis
 
Hadi Chamberlain anatamba Liverpool

Sturridge kazingua Chelsea kawika Liverpool. Torres safi livepool kazingua Chelsea.
Kwamba usichanganyikiwe Na kiwango cha mchezaji wa Liverpool akiwa Liverpool
 
Kwanini asiwe kama yeye, unamfananisha na Messi, utamfanya asiwe na plan ya kumzidi Messi
kama ana plan ya kumzidi messi asahau ...maana ktika umri alionao salah "" Tayari messi alishaifnya dunia ya michezo imuone kuwa hana mpinzani ktk Mpira wa miguu
 
Nakupongeza Kuwa Umetumia neno "Kama", Venginevyo Ningelikukosoa Kwani Hakuna Sehemu aliyowahi Kusema anapambana na Messi au Ronaldo Kwa Ubora.
 
Haiwezekani kila siku yeye ndio anayeibeba timu huku wenzake wakimuangusha, nafikiri baada ya msimu huu aombe kuuzwa naamini Man City ndio sehemu sahihi kwake, vinginevyo pale Liverpool ataishia kupigiwa makofi na scouser huku mataji akiyasiki jirani.
Muulize COUTINHO PALE BARCA USIKU WA LEO?
 
wanazi wa Liver mnasemaje

Tunapendekeza Mtoa Uzi Aende Kwenye Ukurasa Wa Twitter na Insta Wa Coutinho Akamuulize Hivi:-

√ Yale Magoli Aliyokuwa Akiyafunga Liverpool Yameishia Wapi?

√ Yale Masifa Kemkem Aliyokuwa Akipaishwa na Kutengenezewa Madocumentaries na Media Yameishia Wapi?

√ Lile Jina Lake la "LITTLE MAGICIAN" limepotelea Wapi?

√ Zile Media Za Spain Zilizokuwa Zikimpampa Na Kumpa Misifa Kibao Kila Siku Zimenyamaza Kwa Nini?

Conspiracy theory ya media za Spain Zitawateketeza Wengi...
 
Anapoteza muda liva?je huko alipptoka (roma)alikua anapoteza nini?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Tunapendekeza Mtoa Uzi Aende Kwenye Ukurasa Wa Twitter na Insta Wa Coutinho Akamuulize Hivi:-

√ Yale Magoli Aliyokuwa Akiyafunga Liverpool Yameishia Wapi?

√ Yale Masifa Kemkem Aliyokuwa Akipaishwa na Kutengenezewa Madocumentaries na Media Yameishia Wapi?

√ Lile Jina Lake la "LITTLE MAGICIAN" limepotelea Wapi?

√ Zile Media Za Spain Zilizokuwa Zikimpampa Na Kumpa Misifa Kibao Kila Siku Zimenyamaza Kwa Nini?

Conspiracy theory ya media za Spain Zitawateketeza Wengi...
Huyu chokoraa wa fevela kushney babuji,yy ndie alikua anatuletea gundu kwenye timu yetu
 
Back
Top Bottom