Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 913
hana kipya zaidi ya mbio tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa umenena mkuuNingekuwa nimepata nafasi ya kumshauri Mohamed Salah ningemshauri abaki Liverpool kama shukrani sababu ni kama timu pekee iliyomthamini katika timu kubwa duniani maana Hata Roma nao walimwachia aende Fiorentina.
Kuhusu mshahara nadhani Klopp sio muda atampandishia maana kuna wave ya kupanda mishahara pale EPL. Isitoshe ndio kinara wa timu kipindi hiki pale Liverpool, hio itawapa Pressure wamuongezee mshahara.
Hataweza kwenda Madrid, Barcelona wataaribu tu, atashawishiwa kwenda man city, Sheikh Mansoor nae hawezi kumuacha.Yule ni madrid type
ofkosz Mancity > Liverpool kipindi hichi. huko nyuma Liverpool >>> Mancity. Kesho Mancity <> LiverpoolHuyu mtoa uzi nadhani amemjua salah akiwa Liverpool. Kabla ya Liverpool salah alikuwa na sifa zipo kubwa katika ulimwengu wa soka? And again, salah amecheza kwa mafanikio msimu huu tu, unawezaje kumwona magician kwa msimu mmoja tu? Halafu je kwa upeo wa mleta uzi ni kweli kwamba man city > Liverpool? Uzi huu hauko vizuri, una jicho la wivu nadhani mleta uzi ni shabiki wa man city.
Wnaendanga wapi mkuuHata Coutinho Mulijidai Kusema Hayahaya! Unafikiri Coutinho Kule Barcelona atakuwa Bora Kama alivyokuwa Liverpool?? Sahau Kwahilo! Nakuhakikishia karibuni Coutinho atapotea na atasahaulika!
Usifikiri ukali hule Ni uwezo wake Binafsi tu! Hata Mfumo Wa Klopp Kwa Kiwango Kukubwa umechangia Coutinho ainekane Bora! lakini Kule Barcelona namba aliyokuwa akicheza Liverpool Kule inachezwa na Iniesta badala Yake yeye Anacheza Position mpya.
Hivi unadhani Man City ndiyo Ndoto ya Wachezaji Washaokuwa na Majina??
Hile Ni Timu ya Wachezaji Wa Kawaida Kama Walivyokuwa kina Sane, Jesus, De Bruyne ambao Hujitengenezea majina Wakishakuwa Pale!
Lakini Aliyekwisha Kujitengenezea Kina Hawezi Kwenda Man City Hata Sikh Mmoja.
Coutinho kwa kweli sijui kama atashine muda mrefuHata Coutinho Mulijidai Kusema Hayahaya! Unafikiri Coutinho Kule Barcelona atakuwa Bora Kama alivyokuwa Liverpool?? Sahau Kwahilo! Nakuhakikishia karibuni Coutinho atapotea na atasahaulika!
Usifikiri ukali hule Ni uwezo wake Binafsi tu! Hata Mfumo Wa Klopp Kwa Kiwango Kukubwa umechangia Coutinho ainekane Bora! lakini Kule Barcelona namba aliyokuwa akicheza Liverpool Kule inachezwa na Iniesta badala Yake yeye Anacheza Position mpya.
Hivi unadhani Man City ndiyo Ndoto ya Wachezaji Washaokuwa na Majina??
Hile Ni Timu ya Wachezaji Wa Kawaida Kama Walivyokuwa kina Sane, Jesus, De Bruyne ambao Hujitengenezea majina Wakishakuwa Pale!
Lakini Aliyekwisha Kujitengenezea Kina Hawezi Kwenda Man City Hata Sikh Mmoja.
umeandika mashuduHata Coutinho Mulijidai Kusema Hayahaya! Unafikiri Coutinho Kule Barcelona atakuwa Bora Kama alivyokuwa Liverpool?? Sahau Kwahilo! Nakuhakikishia karibuni Coutinho atapotea na atasahaulika!
Usifikiri ukali hule Ni uwezo wake Binafsi tu! Hata Mfumo Wa Klopp Kwa Kiwango Kukubwa umechangia Coutinho ainekane Bora! lakini Kule Barcelona namba aliyokuwa akicheza Liverpool Kule inachezwa na Iniesta badala Yake yeye Anacheza Position mpya.
Hivi unadhani Man City ndiyo Ndoto ya Wachezaji Washaokuwa na Majina??
Hile Ni Timu ya Wachezaji Wa Kawaida Kama Walivyokuwa kina Sane, Jesus, De Bruyne ambao Hujitengenezea majina Wakishakuwa Pale!
Lakini Aliyekwisha Kujitengenezea Kina Hawezi Kwenda Man City Hata Sikh Mmoja.
Livapuli a.k.a majogooWnaendanga wapi mkuu
povuHata Coutinho Mulijidai Kusema Hayahaya! Unafikiri Coutinho Kule Barcelona atakuwa Bora Kama alivyokuwa Liverpool?? Sahau Kwahilo! Nakuhakikishia karibuni Coutinho atapotea na atasahaulika!
Usifikiri ukali hule Ni uwezo wake Binafsi tu! Hata Mfumo Wa Klopp Kwa Kiwango Kukubwa umechangia Coutinho ainekane Bora! lakini Kule Barcelona namba aliyokuwa akicheza Liverpool Kule inachezwa na Iniesta badala Yake yeye Anacheza Position mpya.
Hivi unadhani Man City ndiyo Ndoto ya Wachezaji Washaokuwa na Majina??
Hile Ni Timu ya Wachezaji Wa Kawaida Kama Walivyokuwa kina Sane, Jesus, De Bruyne ambao Hujitengenezea majina Wakishakuwa Pale!
Lakini Aliyekwisha Kujitengenezea Kina Hawezi Kwenda Man City Hata Sikh Mmoja.
Acha kuandika pumba zako, Yaani aondoke kwenye timu sahihi aende kusikoaminika unafkr ye hana akili kama weweHaiwezekani kila siku yeye ndio anayeibeba timu huku wenzake wakimuangusha, nafikiri baada ya msimu huu aombe kuuzwa naamini Man City ndio sehemu sahihi kwake, vinginevyo pale Liverpool ataishia kupigiwa makofi na scouser huku mataji akiyasiki jirani.
Huo ndo ukweli umeongea kitu cha maana sana! Asije akafanya ujinga wa yule jamaa alikuwa Arsenal anaitwa Alex Song jamaa alikuwa anapata namba vizuri mzee wenger alikuwa anamkubali sana akajifanya anajua zaidi kwenda Barca nafikiri alichokitafuta alikipata tayariNingekuwa nimepata nafasi ya kumshauri Mohamed Salah ningemshauri abaki Liverpool kama shukrani sababu ni kama timu pekee iliyomthamini katika timu kubwa duniani maana Hata Roma nao walimwachia aende Fiorentina.
Kuhusu mshahara nadhani Klopp sio muda atampandishia maana kuna wave ya kupanda mishahara pale EPL. Isitoshe ndio kinara wa timu kipindi hiki pale Liverpool, hio itawapa Pressure wamuongezee mshahara.
Madrid wameshasema sio galastico hawezi chezea timu kubwa kama ileYule ni madrid type
Ole wao tukutane Semi au Final. Dharau zitawaponza.Madrid wameshasema sio galastico hawezi chezea timu kubwa kama ile