Mo Salah: Mchezaji bora anayepoteza muda wake Liverpool

Mchezaji wa msimu next atapotea kama vile vitoto vya Manchester United
 
Hapa umenena mkuu
Kulipa fadhila

Naliona hlo kwa iniesta na natarajia kuliona hlo pia kwa King Leo

Story ya Messi utoton na moyo waliouonesha barcelona kwa messi alpokuwa dogo na comitment yao kwenye ttzo lake inampa moyo mchezaj muelewa kulipa fadhila

But kwa liver Salaah atarajie vikombe kwel???
 
Mtoa mada huna akili tena mpuuzi, hao man city hawakumuona huko alikokua?
Liverpool ilipomtaka kwa Mara ya kwanza Morinho akamdaka uwanha wa ndege akamchukua, alifanya nini Chelsea?
 
ofkosz Mancity > Liverpool kipindi hichi. huko nyuma Liverpool >>> Mancity. Kesho Mancity <> Liverpool
 
Hata Coutinho Mulijidai Kusema Hayahaya! Unafikiri Coutinho Kule Barcelona atakuwa Bora Kama alivyokuwa Liverpool?? Sahau Kwahilo! Nakuhakikishia karibuni Coutinho atapotea na atasahaulika!
Usifikiri ukali hule Ni uwezo wake Binafsi tu! Hata Mfumo Wa Klopp Kwa Kiwango Kukubwa umechangia Coutinho aonekane Bora! lakini Kule Barcelona namba aliyokuwa akicheza Liverpool Kule inachezwa na Iniesta badala Yake yeye Anacheza Position mpya.

Hivi unadhani Man City ndiyo Ndoto ya Wachezaji Washaokuwa na Majina??
Hile Ni Timu ya Wachezaji Wa Kawaida Kama Walivyokuwa kina Sane, Jesus, De Bruyne ambao Hujitengenezea majina Wakishakuwa Pale!
Lakini Aliyekwisha Kujitengenezea Jina Hawezi Kwenda Man City Hata Siku Mmoja.
 
Wnaendanga wapi mkuu
 
Coutinho kwa kweli sijui kama atashine muda mrefu
Let's wait and see but mmmh!
 
umeandika mashudu
 
Watu mna wivu kinoma, huyo Salah ndio mmemjua leo kisa yupo Liverpool?

Kisa saivi amekuja kwa wanaojua na anawaumiza kila siku mnaona Liverpool sio sehemu sahihi kwake wakati kiuhalisia ndio sehemu iliyomfanya mpaka sasa aheshimike duniani ndani ya miezi michache kabisa.


Wivu mwingine bwana bora ulale ukue
 
povu
 
Acha kuandika pumba zako, Yaani aondoke kwenye timu sahihi aende kusikoaminika unafkr ye hana akili kama wewe
 
Man city ndo timu gani sasa??mbona unaongea vitu ambavyo havina maana?





Hapo ndo upeo wako wa fikra ulipoishia.
 
Huo ndo ukweli umeongea kitu cha maana sana! Asije akafanya ujinga wa yule jamaa alikuwa Arsenal anaitwa Alex Song jamaa alikuwa anapata namba vizuri mzee wenger alikuwa anamkubali sana akajifanya anajua zaidi kwenda Barca nafikiri alichokitafuta alikipata tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…