Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wenzetu duniani life expectancy ni miaka 90 sasa mtu 50 mdogo sana tena ndiyo ujana unanchemkaKijana ana miaka zaidi ya 50 ni kijana wa aina gani huyu?!
Sio kwamba Mo ndo kaosha nyota?Lemutuz Kaosha Nyota
Lemutuz ana maneno sana aahha hhhaa u knowNa alipotoka kwenye mazungumzo alienda kulala direct asije kukutana na mbululaz kama msaga sumu wamuharibie maakili kubwaz aliyopewa na Le Super Mo
kwa hela zipi
Si ni striper, Au u striper haulipi?kwa hela zipi
hahahahahaNYE NYE NYE AMEENDA KUOMBA MATANGAZO KWENYE BLOGU NA CHANNEL YAKE.
haahahahamtu ana miaka 60 ni kijana ? duhhhhhhhhh
hahaMazungumzo ambayo agenda yake haijawekwa waz... Vijana waliotoa maoni yao ....... Asee hayo maoni wameotea nn kilizungumzwa au?
HahahahahahaHayo masaa 13 walikua wamejifungia chumbani wawili tu??
Nnahisi Mo hajafika hata 45 ila hilo jibaba jingine kama sikosei yupo kwenye late 60's. Labda kama mtoa mada alileta wastani wa umri wao ndiyo akaconclude kuwa umri wap ni wa vijanaKijana ana miaka zaidi ya 50 ni kijana wa aina gani huyu?!
Kijana sii rizki,degree 3 za le mutuz ni sawa na elimu ya darasa la 7 ya tanzania.Umri huo hata hajui anafanya nini zaidi ya kuwa mpambe wa matajiri uchwaraHayo masaa 13 walikua wamejifungia chumbani wawili tu??