Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,778
Rostam ft MauaKijana ana miaka zaidi ya 50 ni kijana wa aina gani huyu?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rostam ft MauaKijana ana miaka zaidi ya 50 ni kijana wa aina gani huyu?!
View attachment 723502 Wiki inayoelekea ukingoni huenda ikawa wiki bora kuliko zote kwa vijana baada ya matajiri vijana wa kitanzania kufanya mazungumzo kwa zaidi ya masaa 13.
Lemutuz ambaye anatwaja kama muajiri mkubwa nchini katika eneo dogo la mraba (employee/sq ft),akiwa ameajiri vijana 8 katika mita za mraba nne na Mo Dewji ambaye anatajwa kama muajiri mkubwa kwa ujumla, mazungumzo hayo ambayo ajenda yake bado haijawa wazi hasa lkn wachunguzi wa mambo wanadai inawezekana walijadili masuala ya kumwaga mabilioni kwa vijana ili kuwaondoa mitaani.
Baadhi ya vijana waliobahatika kutoa maoni yao walipongeza hatua hiyo kubwa huku wengine wakisema ni nadra sana kuona Lemutuz akifanya mazungumzo na mtu asiye na digrii 3 kwa masaa mengi kiasi hicho.
Katika eneo dogo sana mkuu kifupi jamaa ni "don"hahahaha duuu eti tajiri ameajiri watu 8 hahahaha
Hakuna tena kisa cha Lemutuz?View attachment 723502 Wiki inayoelekea ukingoni huenda ikawa wiki bora kuliko zote kwa vijana baada ya matajiri vijana wa kitanzania kufanya mazungumzo kwa zaidi ya masaa 13.
Lemutuz ambaye anatwaja kama muajiri mkubwa nchini katika eneo dogo la mraba (employee/sq ft),akiwa ameajiri vijana 8 katika mita za mraba nne na Mo Dewji ambaye anatajwa kama muajiri mkubwa kwa ujumla, mazungumzo hayo ambayo ajenda yake bado haijawa wazi hasa lkn wachunguzi wa mambo wanadai inawezekana walijadili masuala ya kumwaga mabilioni kwa vijana ili kuwaondoa mitaani.
Baadhi ya vijana waliobahatika kutoa maoni yao walipongeza hatua hiyo kubwa huku wengine wakisema ni nadra sana kuona Lemutuz akifanya mazungumzo na mtu asiye na digrii 3 kwa masaa mengi kiasi hicho.
lemutuz ni tajiri?
Hahaaa vipi hayo mabilioniView attachment 723502 Wiki inayoelekea ukingoni huenda ikawa wiki bora kuliko zote kwa vijana baada ya matajiri vijana wa kitanzania kufanya mazungumzo kwa zaidi ya masaa 13.
Lemutuz ambaye anatwaja kama muajiri mkubwa nchini katika eneo dogo la mraba (employee/sq ft),akiwa ameajiri vijana 8 katika mita za mraba nne na Mo Dewji ambaye anatajwa kama muajiri mkubwa kwa ujumla, mazungumzo hayo ambayo ajenda yake bado haijawa wazi hasa lkn wachunguzi wa mambo wanadai inawezekana walijadili masuala ya kumwaga mabilioni kwa vijana ili kuwaondoa mitaani.
Baadhi ya vijana waliobahatika kutoa maoni yao walipongeza hatua hiyo kubwa huku wengine wakisema ni nadra sana kuona Lemutuz akifanya mazungumzo na mtu asiye na digrii 3 kwa masaa mengi kiasi hicho.
Lemutuz naye ana biashara gani?View attachment 723502 Wiki inayoelekea ukingoni huenda ikawa wiki bora kuliko zote kwa vijana baada ya matajiri vijana wa kitanzania kufanya mazungumzo kwa zaidi ya masaa 13.
Lemutuz ambaye anatwaja kama muajiri mkubwa nchini katika eneo dogo la mraba (employee/sq ft),akiwa ameajiri vijana 8 katika mita za mraba nne na Mo Dewji ambaye anatajwa kama muajiri mkubwa kwa ujumla, mazungumzo hayo ambayo ajenda yake bado haijawa wazi hasa lkn wachunguzi wa mambo wanadai inawezekana walijadili masuala ya kumwaga mabilioni kwa vijana ili kuwaondoa mitaani.
Baadhi ya vijana waliobahatika kutoa maoni yao walipongeza hatua hiyo kubwa huku wengine wakisema ni nadra sana kuona Lemutuz akifanya mazungumzo na mtu asiye na digrii 3 kwa masaa mengi kiasi hicho.
NiiceView attachment 723502 Wiki inayoelekea ukingoni huenda ikawa wiki bora kuliko zote kwa vijana baada ya matajiri vijana wa kitanzania kufanya mazungumzo kwa zaidi ya masaa 13.