Mobimba nye nye nye,Lemutuz na Mo Dewji wafanya mazungumzo kwa masaa 13,wakubaliana kumwaga mabilioni

View attachment 723502 Wiki inayoelekea ukingoni huenda ikawa wiki bora kuliko zote kwa vijana baada ya matajiri vijana wa kitanzania kufanya mazungumzo kwa zaidi ya masaa 13.
Lemutuz ambaye anatwaja kama muajiri mkubwa nchini katika eneo dogo la mraba (employee/sq ft),akiwa ameajiri vijana 8 katika mita za mraba nne na Mo Dewji ambaye anatajwa kama muajiri mkubwa kwa ujumla, mazungumzo hayo ambayo ajenda yake bado haijawa wazi hasa lkn wachunguzi wa mambo wanadai inawezekana walijadili masuala ya kumwaga mabilioni kwa vijana ili kuwaondoa mitaani.
Baadhi ya vijana waliobahatika kutoa maoni yao walipongeza hatua hiyo kubwa huku wengine wakisema ni nadra sana kuona Lemutuz akifanya mazungumzo na mtu asiye na digrii 3 kwa masaa mengi kiasi hicho.
Lemutuz ambae anatajwa kua mmiliki wa inchi zisizozidi tatu ndani ya pensi nyanya kubwa
 
View attachment 723502 Wiki inayoelekea ukingoni huenda ikawa wiki bora kuliko zote kwa vijana baada ya matajiri vijana wa kitanzania kufanya mazungumzo kwa zaidi ya masaa 13.
Lemutuz ambaye anatwaja kama muajiri mkubwa nchini katika eneo dogo la mraba (employee/sq ft),akiwa ameajiri vijana 8 katika mita za mraba nne na Mo Dewji ambaye anatajwa kama muajiri mkubwa kwa ujumla, mazungumzo hayo ambayo ajenda yake bado haijawa wazi hasa lkn wachunguzi wa mambo wanadai inawezekana walijadili masuala ya kumwaga mabilioni kwa vijana ili kuwaondoa mitaani.
Baadhi ya vijana waliobahatika kutoa maoni yao walipongeza hatua hiyo kubwa huku wengine wakisema ni nadra sana kuona Lemutuz akifanya mazungumzo na mtu asiye na digrii 3 kwa masaa mengi kiasi hicho.
Wasukuma acheni ushamba , kijana gani ana Miaka zaidi ya 60
 
masaa13 mmmmh watu2 mleta mada tueleze vizuri acha kubania story

bilions aziwezi kubadili chochote kwenye mzunguko wa kibiashara
 
Back
Top Bottom