Banned User 00001
Member
- May 18, 2021
- 43
- 302
Ghana pia Hawako nyuma , they have got their SuV models under automobiles manufacturer Kantanka, they some of the coolest cars that you will ever come across with , we need to support these people , we need to support our emerging manufacturers and inventorsHii gari ya Kenya aki walahi ni beautiful sana. Mobius ni gari inayoundwa Kenya.
#BuyKenyaBuildKenya
#MadeInKenya
Wengine kutoka Kusini waendelee tu kuunda gari linaloitwa nyumbu.
View attachment 1822933
View attachment 1822936
View attachment 1822934
View attachment 1822937
View attachment 1822938
Ushamwagiwa dhaawa ya macho, watarajia kuona kweli? 😂 😂 😂Mbona Mimi sioni cha ajabu hapo.
Angalia vizuri yaani Bora nyumbu inaoneaha kabisa was designed from scratch ,hii Mobius designers wake wamefanya sampling tu ya jeep Wrangler na range roverKwa iteration walizopitia hawa jamaa thats a beautiful well designed car! Japo kwa interios bado kidogo ila Mobius iko on the right track! Sijawahi sifia Kenyans ila kwa hii wameweza aisee
Infact, waliotengeza hiyo ni ma odi tu, hawajafika vyuo vikuu hata. Sasa compare na wanafunzi wenyu wa vyuo vikuu! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇Nikikumbuka picha hii huwa natokwa machozi 😭 😭😭
View attachment 1823007
Nyumbu [emoji23][emoji23]Nikikumbuka picha hii huwa natokwa machozi [emoji24] [emoji24][emoji24]
View attachment 1823007
😢 😥😭😁😂😂😂Nyumbu [emoji23][emoji23]View attachment 1823765
Hizi tutakua tunauza tz[emoji1787][emoji1787]Nikikumbuka picha hii huwa natokwa machozi [emoji24] [emoji24][emoji24]
View attachment 1823007
Ndio anavyowadanganya mama Ngina!?Hizi tutakua tunauza tz[emoji1787][emoji1787]
Hii ni pongezi au ni matusi? Sielewi.Nia ya muundaji gari hili ame-fail sehemu ndogo ndogo. Ameifanya fupi kwenda juu. Hasa kutokea kwenye bonet pale kwenye kioo mpaka kwenye roof ni pafupi,panaifanya gari ionekane ya kijeshi hivi sio ya starehe.
Kioo ni kidogo kinamfanya dereva au hata aliekaa pembeni ya dereva asii-enjoy kuwa kwenye hilo gari.
Mmeunda linafaa jeshini kimuonekano,japo material hayafai kijeshi.
Japo muundaji alikuwa na nia ya ku-copy toka JEEP au HAMMER.
Ndio utakapojua wazungu wako mbali sana. Usione gari lipo tu unalitumia huku,ila wanazingatia vingi sana,hawaachi hata kosa dogo lipite.
Yote kwa yote mmeenda mbali sana binamu,hongera sana kwa hiyo copy
Hizi nimeziona kadhaa barabarani.Kibo’s K150 is a revolutionary new motorbike designed in Holland, made in Kenya, and built for Africa’s tough road and offroad conditions.
KIBO K150
KIBO K250
View attachment 1824084
Iko heavy duty...Hizi nimeziona kadhaa barabarani.
Hapana mkuu,sina nia kukejeri. Ni pongezi ya wazi kabisa toka moyoni mwangu. Mimi niko upande wa Kenya siku zote na niko wazi tu mmetuzidi mengi tu. Hata huu uthubutu ni hatua kubwa.Hii ni pongezi au ni matusi? Sielewi.