Mobius ni gari inayoundiwa Kenya, ni Moto

Mobius ni gari inayoundiwa Kenya, ni Moto

Hii gari ya Kenya aki walahi ni beautiful sana. Mobius ni gari inayoundwa Kenya.
#BuyKenyaBuildKenya
#MadeInKenya
Wengine kutoka Kusini waendelee tu kuunda gari linaloitwa nyumbu.
View attachment 1822933

View attachment 1822936
View attachment 1822934

View attachment 1822937
View attachment 1822938
Ghana pia Hawako nyuma , they have got their SuV models under automobiles manufacturer Kantanka, they some of the coolest cars that you will ever come across with , we need to support these people , we need to support our emerging manufacturers and inventors
EZiQWlmWoAAGYGS.jpg
Kwadwo_Safo_Kantanka-SUV.jpg
 
Kwa iteration walizopitia hawa jamaa thats a beautiful well designed car! Japo kwa interios bado kidogo ila Mobius iko on the right track! Sijawahi sifia Kenyans ila kwa hii wameweza aisee
Angalia vizuri yaani Bora nyumbu inaoneaha kabisa was designed from scratch ,hii Mobius designers wake wamefanya sampling tu ya jeep Wrangler na range rover
 
Kibo’s K150 is a revolutionary new motorbike designed in Holland, made in Kenya, and built for Africa’s tough road and offroad conditions.
KIBO K150
KIBO K250
Screenshot_20210618_113806.jpg
 
Nia ya muundaji gari hili ame-fail sehemu ndogo ndogo. Ameifanya fupi kwenda juu. Hasa kutokea kwenye bonet pale kwenye kioo mpaka kwenye roof ni pafupi,panaifanya gari ionekane ya kijeshi hivi sio ya starehe.
Kioo ni kidogo kinamfanya dereva au hata aliekaa pembeni ya dereva asii-enjoy kuwa kwenye hilo gari.
Mmeunda linafaa jeshini kimuonekano,japo material hayafai kijeshi.
Japo muundaji alikuwa na nia ya ku-copy toka JEEP au HAMMER.
Ndio utakapojua wazungu wako mbali sana. Usione gari lipo tu unalitumia huku,ila wanazingatia vingi sana,hawaachi hata kosa dogo lipite.
Yote kwa yote mmeenda mbali sana binamu,hongera sana kwa hiyo copy
 
Hii ni pongezi au ni matusi? Sielewi.
 
Hii ni pongezi au ni matusi? Sielewi.
Hapana mkuu,sina nia kukejeri. Ni pongezi ya wazi kabisa toka moyoni mwangu. Mimi niko upande wa Kenya siku zote na niko wazi tu mmetuzidi mengi tu. Hata huu uthubutu ni hatua kubwa.
Sisi hata ndoto haipo. Tuko kwenye porojo za siasa tu,tunasahau kila kitu kuhusu maendeleo na hatua ktk teknorojia kwa ujumla.
Pia mimi ni mpenzi wa gari muundo huo. Check hiyo kwenye avatar yangu. Bila shaka na hiyo inafunguka hivi,kuwa wazi juu ukiamua? Mtaniuzia bei gani hii yenu binamu?
 
Back
Top Bottom