Nia ya muundaji gari hili ame-fail sehemu ndogo ndogo. Ameifanya fupi kwenda juu. Hasa kutokea kwenye bonet pale kwenye kioo mpaka kwenye roof ni pafupi,panaifanya gari ionekane ya kijeshi hivi sio ya starehe.
Kioo ni kidogo kinamfanya dereva au hata aliekaa pembeni ya dereva asii-enjoy kuwa kwenye hilo gari.
Mmeunda linafaa jeshini kimuonekano,japo material hayafai kijeshi.
Japo muundaji alikuwa na nia ya ku-copy toka JEEP au HAMMER.
Ndio utakapojua wazungu wako mbali sana. Usione gari lipo tu unalitumia huku,ila wanazingatia vingi sana,hawaachi hata kosa dogo lipite.
Yote kwa yote mmeenda mbali sana binamu,hongera sana kwa hiyo copy