Mobius ni gari inayoundiwa Kenya, ni Moto

Hiyo imekuwa assembled tu haijaundwa. Mumeimport vipuri na kuviunganisha.
Kuna percentage ya locally made...sawa na hizo mobius zenu.
The same to Katanka wa Ghana..naye kuna percentage anaimport
 
Hiyo imekuwa assembled tu haijaundwa. Mumeimport vipuri na kuviunganisha.
Unazijua components zinazounda gari!? Hebu zitaje kisha useme kiwanda kipi kinatengeneza hizo components hapo Kenya. Kama ukishindwa kutaja wewe ni mwehu.
 
30 % ya Mobius ni locally made.
Sikiliza huyo mzungu anavyosema. Usijibu bila kutazama video.

Mzee nimekuambia unitajie components mnazotengeneza hapo Kenya wewe unanipatia percentage!?

Niambie components zipi mnazitengeneza hapo Kenya.
 
Some parts of the body and chassis ndio tunatengeneza Kenya. Engine na gearbox zinaundiwa nje.
 
Mzee hebu ondoa upumbavu wako hapa.
Nimekuambia unieleze components zipi mnatengeneza.
Wewe sema MF: Taa, battery, Filter, Radio, Engine etc. Na taja kampuni inayotengeneza hizo components.
 
Kwani mimi ni engineer wa Mobius? Nitolee ujinga wako hapa. Mimi naquote kilichosemwa na huyo mzungu. Nimekuambia utazame video lakini hutaki kusikia. Mzungu kasema parts of the body and chassis zinaundwa Kenya ila hajaspecify ni parts zipi hizo. Kwa hivyo unitolee upumbavu wako hapa.
 
Wakenya mko funny sana, sasa mbona mnatumia nembo inayokaribia kufanana na ya Renault?
 
Kwani mimi ni engineer wa Mobius? Nitolee ujinga wako hapa. Mimi naquote kilichosemwa na huyo mzungu. Nimekuambia utazame video lakini hutaki kusikia. Mzungu kasema parts of the body and chassis zinaundwa Kenya ila hajaspecify ni parts zipi hizo. Kwa hivyo unitolee upumbavu wako hapa.
Mzee ondoa upumbavu wako hapa. Kama issue huijui kaa kimya. Shenztype
 
Back
Top Bottom