Hao wote walikuwa na Wajamaa lakini walipishana sana kwenye implementation Ujamaa wa Mwalimu ulileta Demage kuliko wa Kaunda.Unavosema Kaunda alikua Better zaidi ya nyerere unamaanisha nini??
unaweza ainisha catergory za ulinganifu
Mmmh mkuu unasimplify sana kauli zako!Hao wote walikuwa na Wajamaa lakini walipishana sana kwenye implementation Ujamaa wa Mwalimu ulileta Demage kuliko wa Kaunda.
Mwalimu alikuja na African Socialism Ujamaa na Kujitegemea na kuanzisha Vijiji vya Ujamaa bila ya kutoa Elimu kwa Wananchi Watu wakawa Confused wasijue nini ni nini.Mmmh mkuu unasimplify sana kauli zako!
Kauli nzito kama hyo huwezi ku oversimplify
Kumbuka ujamaa ni mfumo siyo speech au kitu kimoja .Ni mjumuisho wa itikadi fulan na policy juu ya uchumi na uendeshaji nchi kwa ujumla.
Ukiangalia Takwimu za tanzania na zambia hazireflect unachosema
zambia na malawi walikua wanatengeneza?Mwalimu alikuja na African Socialism Ujamaa na Kujitegemea na kuanzisha Vijiji vya Ujamaa bila ya kutoa Elimu kwa Wananchi Watu wakawa Confused wasijue nini ni nini.
Mimi nakumbuka Dawa za Mswaki Colget na Sabuni za kuogea zilikuwa zikitoka Zambia na Malawi sisi hapa mambo yalikuwa very tight Shida Dhiki na Njaa.
Ndio maana ile Siasa ya Mwalimu ilifeli vibaya.
Hakuna cha uchawi alikuwa mkaksi sana ukizingua shaba ukihisiwa tu unataka kumwekea njama shaaba ya kichwaa..Alitumia uchawi kuongoza watu,alitumia uchawi wa nguvu ya mnyama chui kutiisha watu
😂😂😂😂kuna mambo ya msingi bila hivo hayaendiHakuna cha uchawi alikuwa mkaksi sana ukizingua shaba ukihisiwa tu unataka kumwekea njama shaaba ya kichwaa..
Lazima mkae kwenye mstari.
Hilo demo alilifanya magu hapa tz, ingawa yeye hakuwa anawapiga watu shaba ila cha moto utakiona, tulinyooka wote ndani ya mwaka tu..
Hawakupiga marufuku bidhaa kutoka katika Capitalist Economies mfano hata Kenya walikuwa wakitengeneza bidhaa kama Colget na Bidhaa nyingi za Kimagharibi lakini ilikuwa ni MARUFUKU kuingiza au kutumia bidhaa hizo Tanzania na ukikamatwa unafungwa.zambia na malawi walikua wanatengeneza?
Why not Tanzania?kuna US friendship
Ambao kwa East africa ni Rwanda, kenya
Hapana siyo strategicWhy not Tanzania?
Mobutu ndio shida ya Congo. Alikuwa kiongozi mbovu. Bora Kabila mkubwa alikuwa ameanza kuijenga Congo akawa.Kuwepo kwa viongozi wanaoshindwa kuiimarisha CONGO kuna uhusiano gani na Mobutu ambaye ni marehemu.
DRC ilisaini mkataba na shetani kwa tamaa za Laurent kabila na ndio huo unaoitesa
Tunaongelea kijeshi na kiulinzi CONGO haikua inavamiwa ovyoMobutu ndio shida ya Congo. Alikuwa kiongozi mbovu. Bora Kabila mkubwa alikuwa ameanza kuijenga Congo akawa.
Why Kenya?Hapana siyo strategic
Ok lazima ujue strategic kwa US ni nini ndio utaelewa kwanini nchi nyingine zinakuja kama friends na zingine zinakuja kama allyWhy Kenya?
Okay ,this am well aware of, ndio maana nauliza why do u think Kenya? Hizo strategic considerations ndio naziuliza hapa kamanda if it happens that you know cz mimi sijui, just for curiosityOk lazima ujue strategic kwa US ni nini ndio utaelewa kwanini nchi nyingine zinakuja kama friends na zingine zinakuja kama ally
Ok kwa East Africa US imekua na urafiki na kenya ,uganda na Rwanda pia the horn countries.Okay ,this am well aware of, ndio maana nauliza why do u think Kenya? Hizo strategic considerations ndio naziuliza hapa kamanda if it happens that you know cz mimi sijui, just for curiosity
Kuua kwake ilikuwa ni kafara ili kudumisha uchawi wake.Hakuna cha uchawi alikuwa mkaksi sana ukizingua shaba ukihisiwa tu unataka kumwekea njama shaaba ya kichwaa..
Lazima mkae kwenye mstari.
Hilo demo alilifanya magu hapa tz, ingawa yeye hakuwa anawapiga watu shaba ila cha moto utakiona, tulinyooka wote ndani ya mwaka tu..
Duuh kiongozi hiyo mi sikua naijuaKuua kwake ilikuwa ni kafara ili kudumisha uchawi wake.
Alitoa sadaka ya damu za watu kwa shetan ili adumishe utawala wake.
Shetani hakupi mamlaka Bure.