Mobutu ndiye alikuwa Rais mwenye nguvu wa mwisho wa DRC (CONGO)

Mobutu ndiye alikuwa Rais mwenye nguvu wa mwisho wa DRC (CONGO)

Hao wote walikuwa na Wajamaa lakini walipishana sana kwenye implementation Ujamaa wa Mwalimu ulileta Demage kuliko wa Kaunda.
Mmmh mkuu unasimplify sana kauli zako!
Kauli nzito kama hyo huwezi ku oversimplify
Kumbuka ujamaa ni mfumo siyo speech au kitu kimoja .Ni mjumuisho wa itikadi fulan na policy juu ya uchumi na uendeshaji nchi kwa ujumla.

Ukiangalia Takwimu za tanzania na zambia hazireflect unachosema
 
Mwalimu alikuja na African Socialism Ujamaa na Kujitegemea na kuanzisha Vijiji vya Ujamaa bila ya kutoa Elimu kwa Wananchi Watu wakawa Confused wasijue nini ni nini.

Mimi nakumbuka Dawa za Mswaki Colget na Sabuni za kuogea zilikuwa zikitoka Zambia na Malawi sisi hapa mambo yalikuwa very tight Shida Dhiki na Njaa.

Ndio maana ile Siasa ya Mwalimu ilifeli vibaya.
 
zambia na malawi walikua wanatengeneza?
 
Alitumia uchawi kuongoza watu,alitumia uchawi wa nguvu ya mnyama chui kutiisha watu
Hakuna cha uchawi alikuwa mkaksi sana ukizingua shaba ukihisiwa tu unataka kumwekea njama shaaba ya kichwaa..
Lazima mkae kwenye mstari.

Hilo demo alilifanya magu hapa tz, ingawa yeye hakuwa anawapiga watu shaba ila cha moto utakiona, tulinyooka wote ndani ya mwaka tu..
 
😂😂😂😂kuna mambo ya msingi bila hivo hayaendi
Hasa sehemu sensitive za nchi hazihitaji maneno
 
zambia na malawi walikua wanatengeneza?
Hawakupiga marufuku bidhaa kutoka katika Capitalist Economies mfano hata Kenya walikuwa wakitengeneza bidhaa kama Colget na Bidhaa nyingi za Kimagharibi lakini ilikuwa ni MARUFUKU kuingiza au kutumia bidhaa hizo Tanzania na ukikamatwa unafungwa.

Tofauti na Nchi kama Zambia na Malawi.
 
Kuwepo kwa viongozi wanaoshindwa kuiimarisha CONGO kuna uhusiano gani na Mobutu ambaye ni marehemu.
DRC ilisaini mkataba na shetani kwa tamaa za Laurent kabila na ndio huo unaoitesa
Mobutu ndio shida ya Congo. Alikuwa kiongozi mbovu. Bora Kabila mkubwa alikuwa ameanza kuijenga Congo akawa.
 
Ok lazima ujue strategic kwa US ni nini ndio utaelewa kwanini nchi nyingine zinakuja kama friends na zingine zinakuja kama ally
Okay ,this am well aware of, ndio maana nauliza why do u think Kenya? Hizo strategic considerations ndio naziuliza hapa kamanda if it happens that you know cz mimi sijui, just for curiosity
 
Okay ,this am well aware of, ndio maana nauliza why do u think Kenya? Hizo strategic considerations ndio naziuliza hapa kamanda if it happens that you know cz mimi sijui, just for curiosity
Ok kwa East Africa US imekua na urafiki na kenya ,uganda na Rwanda pia the horn countries.

US hutumia silaha na misaada kama njia ya kutafuta urafiki.
For UGANDA inaeleweka urafiki ulianzaje hasa ukiangalia Kuibuka kwa mseveni
Rwanda pia kumaintain stability na gateway to natural resources zilizopo GLR.
Kenya ni kwa ajili ya kumaintain stability somalia .Actually kenya na ethiopia zimekua zikifaidi urafiki huu kwa kupeleka majeshi yake somalia kupambana na ugaidi in exchange ya weapons sales na misaada.

So silaha zinatumika kumaintain status quo na kusaidia serikali zilizomadarakan ziendelee kuwepo madarakani.
Below ni weapons sells to countries considered as friends to US
 
Attachments

  • 63D18A59-013E-448E-AC72-D796D8512637.jpeg
    63D18A59-013E-448E-AC72-D796D8512637.jpeg
    381.2 KB · Views: 4
Hakuna cha uchawi alikuwa mkaksi sana ukizingua shaba ukihisiwa tu unataka kumwekea njama shaaba ya kichwaa..
Lazima mkae kwenye mstari.

Hilo demo alilifanya magu hapa tz, ingawa yeye hakuwa anawapiga watu shaba ila cha moto utakiona, tulinyooka wote ndani ya mwaka tu..
Kuua kwake ilikuwa ni kafara ili kudumisha uchawi wake.
Alitoa sadaka ya damu za watu kwa shetan ili adumishe utawala wake.
Shetani hakupi mamlaka Bure.
 
Back
Top Bottom