PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Tunda kapendeza sana na hizo soksiView attachment 401990Model wa Tanzania anayefanyia kazi zake nchini Afrika Kusini, Daxx Cruz, ameingiza sokoni soksi zake za viatu. Soksi hizo zenye rangi mbalimbali zinaitwa hivyo kwa jina lake ‘Daxx Cruz.’ Tayari zinapatikana kwenye maduka ya nguo jijini Dar es Salaam. Chini ni baadhi ya picha za soksi hizo.View attachment 401991View attachment 401992View attachment 401993View attachment 401994View attachment 401995View attachment 401996
Kapendeza sana vilevile hizo soksi za ukweli ndomana zimemtoa bombaTunda kapendeza sana na hizo soksi
Mkuu kifesi unamwelewa sana huyo binti nn?
Namwelewa sana huyo mtoto.Mkuu kifesi unamwelewa sana huyo binti nn?
Tunamuombea Kheri asije akawa kama maiko skofi anaonekana shujaa vitani kumbe tende haluaHayu naona yuko timamu sio Joka la michezo
Hahahhh elf 50Shilingi ngapi?maana wabongo bwana kwenye price allocation tumefeli!!