PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Model wa Tanzania anayefanyia kazi zake nchini Afrika Kusini, Daxx Cruz, ameingiza sokoni soksi zake za viatu. Soksi hizo zenye rangi mbalimbali zinaitwa hivyo kwa jina lake ‘Daxx Cruz.’ Tayari zinapatikana kwenye maduka ya nguo jijini Dar es Salaam. Chini ni baadhi ya picha za soksi hizo.