Model wa Tanzania aishiye SA, Daxx aja na soksi zake za viatu!

Model wa Tanzania aishiye SA, Daxx aja na soksi zake za viatu!

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,518
Reaction score
13,144
Model wa Tanzania anayefanyia kazi zake nchini Afrika Kusini, Daxx Cruz, ameingiza sokoni soksi zake za viatu. Soksi hizo zenye rangi mbalimbali zinaitwa hivyo kwa jina lake ‘Daxx Cruz.’ Tayari zinapatikana kwenye maduka ya nguo jijini Dar es Salaam. Chini ni baadhi ya picha za soksi hizo.
1474110984570.jpg
1474110997046.jpg
1474111010095.jpg
1474111020811.jpg
1474111039545.jpg
1474111048995.jpg
 
View attachment 401990Model wa Tanzania anayefanyia kazi zake nchini Afrika Kusini, Daxx Cruz, ameingiza sokoni soksi zake za viatu. Soksi hizo zenye rangi mbalimbali zinaitwa hivyo kwa jina lake ‘Daxx Cruz.’ Tayari zinapatikana kwenye maduka ya nguo jijini Dar es Salaam. Chini ni baadhi ya picha za soksi hizo.View attachment 401991View attachment 401992View attachment 401993View attachment 401994View attachment 401995View attachment 401996
Tunda kapendeza sana na hizo soksi
 
Ana kiwanda au ameweka bandiko? Mkuu anahitaji viwanda vya nguo ndo msingi wa swali langu.
 
cjui ndo akili za kuchelew kuelewa au vp? naben tofaut ya soks za viat na soks za miguu ili nielewe kama nyie jaman
 
Back
Top Bottom