Model wa TZ Flaviana Matata ndani ya skendo nzito ya kuwemo katika jumba la xxx production Las Vegas

Kamatia fursa Mtanzania mwenzetu yote maisha ili mradi tu utuboe!
 
Bora auze bidhaa yake huko kuliko kuja kuiuza kwa wauza madafu wa bongo.
 
Dah...mkuu.. Kuna uzi uliuleta mwenyewe...kitambo kidogo...labda uusome ujikumbushe....maandiko yako mwenyeweeee[emoji87]

Kwanini watanzania wengi wana majungu na fitina? - JamiiForums
 
Kama umeweza kulibaini hilo jumba na kubainisha kifanyikacho humo, basi utakuwa na uhakika na unachosema, mwizi kukamatwa na ...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuna import wasiojua kiswahili
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuna import wasiojua kiswahili
Sikutaka tabu za kina Sikudhani Kiswahili kingi , lool. Joking.

Siku moja niko kwenye gari narudi home hapo Morocco, sasa hivi ni jengo la kampuni ya simu, Airtelnafikiri, siku hizo Ambassador Hotel.

Niko na mtoto wa Kinyamwezi Kinugu kwenye gari, basi akaja machinga na bidhaa bidhaa zake anamshobokea "shangazi hii ya leo leo nzuri sana itakufaa sana".

Mtoto wa Kinugu hajui Kiswahili anacheka tuu kafurahiii anasema "But I don't understand what you are saying, Kiranga translate please".

Nikamuona Machinga mwenyewe kafunga break ananifuata mimi anashangaa shangaa tu.

Nikamwambia Mmarekani huyo hajui Kiswahili, nikamwambia yule mtoto wanataka kukuuzia mazagazaga yao hao.
 
Kitanga tunakuzimia hehehehehe .........mademu hawapendi wenye akili niamini ,ila Kuna kaukongwe nimekaona asee umetisha we jamaa Hadi vya ubudha umo khaa ngoja nimalizie hizi bia kwanza
 
Kitanga tunakuzimia hehehehehe .........mademu hawapendi wenye akili niamini ,ila Kuna kaukongwe nimekaona asee umetisha we jamaa Hadi vya ubudha umo khaa ngoja nimalizie hizi bia kwanza
We kwani na kichaa chote hiki bado unaniona nina akili?

Ukongwe mi mkongwe mpaka pale Yesu alipolisha watu 5,000 mkate na samaki na mimi nilikuwepo, bado kidogo tu nipige naye selfie.
 
Hiyo ni kazi tu kwa wenzetu km kaz zengine
 
Kupiga picha za uchi sio tabu, tabu kupiga bure!.
 
We kwani na kichaa chote hiki bado unaniona nina akili?

Ukongwe mi mkongwe mpaka pale Yesu alipolisha watu 5,000 mkate na samaki na mimi nilikuwepo, bado kidogo tu nipige naye selfie.
Mkuu wenye akili wengi huwa Kama vichaa ila mi huwa nawaelewa na kuwavumbua ..najamaa angu yaani sijawahi mahinda argument alikuwa best student mwaka wangu pale mlimani mi nikiwa na ka gpa 3.3 ,yaani jamaa anajua uchumi sjapata ona anafatiliaga Hadi uchumi wa Afghanistan namwambia kwani huoni shape ya Vera sindika ..ila unakuta watu Kama sisi tumeandikiwa simple accomplishment mi habari za dunia nazipata baa tu cna muda wa kufatilia jalada la the economist badala ya page ya mange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…