Modern Airport Terminal in East and Central Africa almost complete

Modern Airport Terminal in East and Central Africa almost complete

hahaha unaeza sema ni kitu special.
But ni kitu new bongo mzima
Tupatie basi ya hapo JKIA kama nikitu new. Kuna mtu kasema ipo. Nimewapatia assignment yakwenda mpige picha hapo JKIA travelator lakini hamniletei😀
 
JNIA 2.5 MMillion total aircraft movents per year 75, 000.

JKIA 7 Million pax, Aircraft movement 322, 000! You have no chance of catching up!

People travel not because tge airports are nice or 'mordern'. People travel because the main reason is that they have something to do where they are going..
Terminal haijaisha umesha anza ku panic. !! 😀😀With the new terminal JNIA will become a HUB.
Do you understand nikisema HUB ?? 😵
 
Seems our GDP hurts you a lot...tunaongelea passengers unatuambia gdp
Kwasababu ninyi ni watu wa hovyo sana, hapa kinachoongelewa ni infrastructure ya airport, habari ya idadi ya passenger inakujaje?, to be the best airport is purely function of buildings, technology and space, hakuna mtu alisema busy airport.
 
Sasa GDP inaingilia wapi....ni Hovyo ama ovyo???
 
Nimesikitishwa na jambo moja tu kuhusu hii terminal mpya, kuwa bado ni ndogo kuliko wa wenzetu wa pale Nairobi JKIA.

Vv
 
Will walk ways increase number of passengers?
Hivi kingereza chako cha nchi gani. We are talking about Travelators not Walk ways.
Hii ndo walk ways wewe zero brain😀😀
stone-walkway.jpg

Hii ndo travelator wewe zero brain😀😀 Hii iko electronic.😀😀
travelator-long-corridor-13313784.jpg
moving-walkway-SWM1115.jpg
 
Back
Top Bottom