Cicero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,924
- 3,074
Askari wa kutetea uminywaji wa demokrasia na uhuru wa kujieleza......pasipo kuleta maendeleo kwa wananchi wa chini. Elimu duni....afya duni....umeme duni kila kitu duni!Mimi siyo kada wa CCM bali ni Askari wa kujitolea wa Raisi Magufuli!
Wewe mulisaaa wenzako tulishajikomboa na dhana ya utaifa i consider myself an international citizen so kazi yako ya kujaribu kudhalilisha nchi za watu hainiumizi ng'o!
Nakushauri na wewe ufanye hivyo. Sikubaliani na dhana ya mipaka na kuwa na mataifa tofauti especially yaliyoanzishwa na wazungu!
Wewe bado ni mtumwa.