Modern Airport Terminal in East and Central Africa almost complete

Mambo ya kuua na kuficha maskini nani kasema? Mm nlichosema ni wahamishwe wao (with compensation) au airport ingejengwa sehem nyingine.
Anyways.....tatizo ni hao city planners wa miaka ya nyuma walikuwa wapi? Hawakuona kwamba tatizo kama hili litaibuka? Wameacha watu wamejenga karibu na makambi ya jeshi (kumbuka ile milipuko ya pugu/gomz), ubungo karibu na mitambo ya umeme, jangwani kwenye njia za maji etc
Wewe ni mkenya usijifanye Mtanzania😀😀😱 Nimekubamba leo. Mambo yakuja na ID fake humu ndani hatu taki.
 
Una matatizo ya kutojali uhalisia wewe ni typical Mwafrika, uko radhi uuue na kuficha masikini wasionekane kwenye picha kumfurahisha Muzungu, Dar masikini hawafichwi kwa sababu na ndiyo uhalisia, ukitaka tufukuze watu wote waende wapi ili picha ionekane vizuri ktk angani?
Huyu jamaa ni Mkenya asikupotezee muda. Anajifanya kutumia avatar ya Tanzania kama Hamstere
 
He is not our brother. He is pretending to be a Tanzanian. Kwa sasa nimejua kuwa anatumia ID fake. I have startea to expose him just like what i did to Hamstere
Acha uzalendo wa kijinga....so lazma mtanzania asifie kila kitu hadi pahali kuna makosa....
Ukweli ni kuwa airport yenu mazingira yake ni mbovu....nyuma ya kzo warehouses ni kubovu zaidi....ZERO PLANNING.
 
Huna mnabehave kama wanawake tu....na wewe kwanza si mtanzania....rudi kwenu Burundi
 
Acha uzalendo wa kijinga....so lazma mtanzania asifie kila kitu hadi pahali kuna makosa....
Ukweli ni kuwa airport yenu mazingira yake ni mbovu....nyuma ya kzo warehouses ni kubovu zaidi....ZERO PLANNING.
Huyo sio mtanzania 100%
 
Mambo ya kuua na kuficha maskini nani kasema? Mm nlichosema ni wahamishwe wao (with compensation) au airport ingejengwa sehem nyingine.
Anyways.....tatizo ni hao city planners wa miaka ya nyuma walikuwa wapi? Hawakuona kwamba tatizo kama hili litaibuka? Wameacha watu wamejenga karibu na makambi ya jeshi (kumbuka ile milipuko ya pugu/gomz), ubungo karibu na mitambo ya umeme, jangwani kwenye njia za maji etc

Wahamishwe ili kukufurahisha wewe ili upige picha na kuona pamendeza bila ya masikini? Zaidi ya nusu zima ya Watanzania ni watu masikini sasa ulitaka tufiche umaskini wetu kwa ajili yako? Na aliyekwambia sisi inatukwaza ni nani uwanja wetu kuzungukwa na masikini, hiyo ndiyo hali halisi ya TZ yetu sasa ulitaka wahame wahamie wapi? Angalau ungekuja na jinsi ya kupunguza umaskini ili hao watu wapate ajira na kuwa na makazi bora lkn unasema wahame ili paonekane kama Frankfurt ili nini na wahamie wapi na hapa ni kwao wamezaliwa hapa?
 
Kumbe unajua chama chenu kilivyoshindwa kuwakwamua watanzania kwenye umaskini [emoji23][emoji23]
 
Blind (destructive) nationalism inamtafuna huyu mulisaaa
Alafu ukimpinga tu unaitwa mhutu.
Wewe mkenya 100% Nipe habari ya hapo Nairobi😀😀
2008_riot_aftermath3_600.jpg
 
Kumbe unajua chama chenu kilivyoshindwa kuwakwamua watanzania kwenye umaskini [emoji23][emoji23]
Kama Jubilee ilivyoshindwa kuwa kwamua kwenye wimbi la umasikini Africa😀😀😀😀
slide_1.jpg
 
My friend jubilee imeanza juzi tu. Kapitie madesa yako vizuri uje tena baadae saiv naona hujajiandaa vyema ntakuaibisha bureee!
Huna lakuniabisha mkenya wewe. Kwanza upo ndani ya thread yangu kuonyesha jinsi i have power of control over you.😀Kwa hiyo cha maana walichofanya Jubilee ni hiki😀😀😳
IMG_20180308_013548.jpg
 
Back
Top Bottom