- Thread starter
- #401
Ukweli gani kaongea huyo mkenya ? Name one ! Mimi nimetoa evidence za picha za mataifa mengine. Kuna lipi kafanya tukubali alichosema ??Mtanzania akiongea ukweli anakuwa mkenya.. ......mulisaa una hisia kama za mwanamke, mara ngapi cicero ameitetea tanzania kutoka kitambo ata kabla ujiunge na jamii forum? watu wote sio watoto kama weww. ..