- Thread starter
- #361
Wewe ni mkenya usijifanye Mtanzania😀😀😱 Nimekubamba leo. Mambo yakuja na ID fake humu ndani hatu taki.Mambo ya kuua na kuficha maskini nani kasema? Mm nlichosema ni wahamishwe wao (with compensation) au airport ingejengwa sehem nyingine.
Anyways.....tatizo ni hao city planners wa miaka ya nyuma walikuwa wapi? Hawakuona kwamba tatizo kama hili litaibuka? Wameacha watu wamejenga karibu na makambi ya jeshi (kumbuka ile milipuko ya pugu/gomz), ubungo karibu na mitambo ya umeme, jangwani kwenye njia za maji etc