Lilikuwa zengwe nini lililosababisha haya!?....mshike mshike mpaka aliwekwa house of arrest.....
Wamuache apumzike au, Sema mdogo mdogo kitaeleweka tuMuacheni mchungaji tafafhali
Du sawaMwaka 2015 alikuwa mfanyakazi BOT Alitolewa BOT kwa taarifa kwamba anaende likizo.
Mwaka huo huo 2015 akaibukia NEC akafanya aliyoyafanya.
Baada tu ya Magufuli kuingia Ikulu aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa NIDA.
Badae akateuliwa kuwa mkurugenzi wa TISS.
Mpaka anaondoka TISS ilikuwa mshike mshike mpaka aliwekwa house of arrest.
Kabla ya kuteuliwa kuwa balozi wa TANZANIA nchini Namibia!!
Je ndiye alikuwa nyuma ya kuunganishwa kwa CCM,NIDA na NEC?
Na kale kakituo kao ka kipumbavu ka akina January Makamba eti tallying centerJe ndiye alikuwa nyuma ya kuunganishwa kwa CCM,NIDA na NEC?
Akamatwe haraka na ashtakiwe
To hell with the fake pastor !Muacheni mchungaji tafafhali
Wazo la Mbowe hiloVile vyama vya kulinda Kura hahaaha wataendelea kulinda kura? Wajinga wakubwa wale
Mbowe tena? Tumuache apumzikeWazo la Mbowe hilo
Hawezi kupumzika bali dhamira yake itamshtaki hadi pale atakapotubuMbowe tena? Tumuache apumzike
Kwa kweli ni WAPUMBAVU SANA..Hawataki mabadiriko ya maana , ukweli na wazi, wameungana na ccm .. sasa tuone, hizo kura , watazilindaje? Doria mtandaoni au ? Polepole kasema kwamba kwamba mifumo iko connected na inasomana na ccm.. halafu hawa MBURURA WA ACT na CHAUMMA wanasema watalinda..ni sawa na kuziba tundu la panya kwa vipande vya mikate au mishikaki... akili kiduchu, watatoboa kweli au ni kulamba garasa tu?Vile vyama vya kulinda Kura hahaaha wataendelea kulinda kura? Wajinga wakubwa wale