Modestus Kapilimba Former DGIS na (IT) ndiye aliunganisha NIDA, NEC na CCM?

Modestus Kapilimba Former DGIS na (IT) ndiye aliunganisha NIDA, NEC na CCM?

Mwaka huo huo 2015 akaibukia NEC akafanya aliyoyafanya.
Je ndiye alikuwa nyuma ya kuunganishwa kwa CCM,NIDA na NEC?
Mnyonge mnyongeni haki yake mpenin

NEC kulikuwa na shida 2015 kuna watu walijipanga wakiwemo viongozi Wa NEC wa wakati huo.kuwa Lowasa lazima apite
Zikatungwa njia haramu kuhakikisha Lowasa anashinda kiharamu na asipotangazwa kitainuka na kweli watu walijipanga kukiinukisha akiwemo Mbowe na Godbless Lema walidakwa spidi ya Mwewe
Wao wanajua.Viti maalumu waitwa covid 19 ndio walimwaga siri

Anyway Kipilimba alifanya sehemu yake kuepusha nchi vita za wenyewe kwa wenyewe
 
Polepole atakuwa na majibu ya swali hili, maana kasema alihusika moja kwa.moja.

Inasemekana na Gwajima naye anajianda kuja kumwaga radhi hadharani.

Huwa nafurahia sana ninapoona kambi ya mbogamboga inawaka moto
Hizi porojo haziwezi kuwatisha hata kidogo CCM .Kwa vyoyote hakuna kwa sasa anaye weza kufanya chochote Watazania wameshapewa baiskeli zinawatosha.Hivyo vyama ulivyo visema vya upinzani unavyo viambia visue uchaguzi wao ndiyo wanaona uchaguzi unachelewa oct. Yana Tik maroboti.game Orver.
 
Computer ukiingiza garbage itatokea garbage
Angalia haya matokeo ya kuunganisha NIDA na server za lumbumba
20250822_104214.jpg
 
Mwaka 2015 alikuwa mfanyakazi BOT Alitolewa BOT kwa taarifa kwamba anaende likizo.

Mwaka huo huo 2015 akaibukia NEC akafanya aliyoyafanya.

Baada tu ya Magufuli kuingia Ikulu aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa NIDA.

Badae akateuliwa kuwa mkurugenzi wa TISS.

Mpaka anaondoka TISS ilikuwa mshike mshike mpaka aliwekwa house of arrest.

Kabla ya kuteuliwa kuwa balozi wa TANZANIA nchini Namibia!!

Je ndiye alikuwa nyuma ya kuunganishwa kwa CCM,NIDA na NEC?
Mtu mbaya huyu kapilima!Bado yupo Namibia!
 
Watu wamepoteza bitcoins kibao na kupata presha na huo huo mfumo!
Sizungumziii bitcoin mkuu, nazungumzia Blockchain technology. Hivi vitu viwili tofauti .. Kwa ufupi.. Bitcoin inatumia Blockchain network, ikija watu kwenye kupoteza coins na kudukuliwa hiyo ni issue ingine ambayo pia ukitaka naweza kukufanulia

Jifunze 😎
Ukiwa na swali lolote niulize

Blockchain is a distributed ledger technology (DLT) that:

1. Stores data in blocks → Each block contains a set of transactions (or records).


2. Links blocks using cryptography → Every block has a unique cryptographic hash that connects it to the previous block, forming a secure chain.


3. Operates in a decentralized network → Multiple nodes (computers) maintain and validate the ledger using a consensus mechanism (e.g., Proof of Work, Proof of Stake).


4. Ensures immutability and transparency → Once a block is added to the chain, altering it would require changing all following blocks, which is computationally infeasible.


5. Provides trust without intermediaries → Parties can transact directly, with security guaranteed by cryptography and consensus.
 
Back
Top Bottom