Modestus Kapilimba Former DGIS na (IT) ndiye aliunganisha NIDA, NEC na CCM?

Modestus Kapilimba Former DGIS na (IT) ndiye aliunganisha NIDA, NEC na CCM?

Mwaka 2015 alikuwa mfanyakazi BOT Alitolewa BOT kwa taarifa kwamba anaende likizo.

Mwaka huo huo 2015 akaibukia NEC akafanya aliyoyafanya.

Baada tu ya Magufuli kuingia Ikulu aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa NIDA.

Badae akateuliwa kuwa mkurugenzi wa TISS.

Mpaka anaondoka TISS ilikuwa mshike mshike mpaka aliwekwa house of arrest.

Kabla ya kuteuliwa kuwa balozi wa TANZANIA nchini Namibia!!

Je ndiye alikuwa nyuma ya kuunganishwa kwa CCM,NIDA na NEC?
Na ndie alie kuwa na pengine mpaka sasa ni mchungaji katika kanisa.
 
UCHAGUZI WA 2020

1755850783742.jpeg

Mkurugenzi wa uchaguzi tume ya taifa ya uchaguzi nchini NEC Dk. Charles Mahera amesema kuwa hadi sasa NEC imeanza kupokea matokeo ya Urais 2020 kutoka maeneo mbalimbali na kuyahakiki kabla ya kutangazwa na zoezi hilo la utangazaji litaanza muda wowote kutoka sasa
 
Kama wakati huo nia ilikuwa njema, hiyo nia njema ya kuunganisha NIDA, NEC na CCM kimfumo ilikuwa ni ipi?
 
UCHAGUZI WA 2020

View attachment 3448771
Mkurugenzi wa uchaguzi tume ya taifa ya uchaguzi nchini NEC Dk. Charles Mahera amesema kuwa hadi sasa NEC imeanza kupokea matokeo ya Urais 2020 kutoka maeneo mbalimbali na kuyahakiki kabla ya kutangazwa na zoezi hilo la utangazaji litaanza muda wowote kutoka sasa
Mungu mwenyewe ndio analijua mioyo yetu!
 
Mwaka 2015 alikuwa mfanyakazi BOT Alitolewa BOT kwa taarifa kwamba anaende likizo.

Mwaka huo huo 2015 akaibukia NEC akafanya aliyoyafanya.

Baada tu ya Magufuli kuingia Ikulu aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa NIDA.

Badae akateuliwa kuwa mkurugenzi wa TISS.

Mpaka anaondoka TISS ilikuwa mshike mshike mpaka aliwekwa house of arrest.

Kabla ya kuteuliwa kuwa balozi wa TANZANIA nchini Namibia!!

Je ndiye alikuwa nyuma ya kuunganishwa kwa CCM,NIDA na NEC?
Dogo ameamua kuchafua alichoshiriki kukifanya

Name calling itampa shida
 
Polepole atakuwa na majibu ya swali hili, maana kasema alihusika moja kwa.moja.

Inasemekana na Gwajima naye anajianda kuja kumwaga radhi hadharani.

Huwa nafurahia sana ninapoona kambi ya mbogamboga inawaka moto
Mkuu,

Wewe unaamini kabisa hawa watu watatoa "mabomu" ya maana?

Jana nimemsikiliza Polepole, he is frankly underwhelming.

He is repeatedly overpromise and underdelivers.

That does not mean what he says is useless, it's just Machiavellian.
 
Mnao jidai ama tamba hamtaenda kupiga kura kumbe mfumo/mifumo umesha kupigisha shoti, ( mfumo unakupigisha kura), kama mimi najisifia nitabaki home sweet home nakula keki kumbe naliwa
 
Ulaaniwe mchungaji feki Kipilimba popote ulipo kwa dhambi kubwa hii uliyoitengeneza, wewe ukifa unaenda kuwa kuni za kuwachomea majizi wenzako.
Hakuunganisha kwa nia mbaya, lengo lilikua ni kulinda nchi dhidi ya mabeberu.

Lakini leo hii huo mfumo unataka kudondokea mikono ya watu wabaya,/wenye nia mbaya na taifa.
 
Back
Top Bottom