Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,927
Wanamtandao wakishirikiana na mabeberu walitaka kufanya mageuziKama wakati huo nia ilikuwa njema, hiyo nia njema ya kuunganisha NIDA, NEC na CCM kimfumo ilikuwa ni ipi?
Wanamtandao wakishirikiana na mabeberu walitaka kufanya mageuziKama wakati huo nia ilikuwa njema, hiyo nia njema ya kuunganisha NIDA, NEC na CCM kimfumo ilikuwa ni ipi?
Ndio mana mnatakiwa mwende kupiga kura izo drama za No+No bure tu. NduguMnao jidai ama tamba hamtaenda kupiga kura kumbe mfumo/mifumo umesha kupigisha shoti, ( mfumo unakupigisha kura), kama mimi najisifia nitabaki home sweet home nakula keki kumbe naliwa
Acha mambo yako ww kwahyo kulinda nchi ndio aunge na CCM pekee kwann asingeunga vyama vyote ????Hakuunganisha kwa nia mbaya, lengo lilikua ni kulinda nchi dhidi ya mabeberu.
Lakini leo hii huo mfumo unataka kudondokea mikono ya watu wabaya,/wenye nia mbaya na taifa.
Mafutungo yamejaa kibri kumbe yana plan.Polepole atakuwa na majibu ya swali hili, maana kasema alihusika moja kwa.moja.
Inasemekana na Gwajima naye anajianda kuja kumwaga radhi hadharani.
Huwa nafurahia sana ninapoona kambi ya mbogamboga inawaka moto
Nenda wewe na danga lako mkapige kura kwani lazima?Ndio mana mnatakiwa mwende kupiga kura izo drama za No+No bure tu. Ndugu
Mkuu bado hujajua mfumo ulivyo tu?Hakuna mchungaji hapo.
Hao ndo watu ambao nchi hii ikipata ukombozi wa kweli lazima washughulikiwe vizuri kushtakiwa na kufungwa kwa kuwahujumu Wananchi na Taifa.
Labda afe.
Duniani tunapita tu bora kajisafishaDogo ameamua kuchafua alichoshiriki kukifanya
Name calling itampa shida
Mkuu Mimi sina ubavu wa kukubishia. Ninachokifanya nakuletea wataalamu wenzako ushughulike nao. Tuanze na huyu hapa chini anayezungumzia matumizi ya Blockchain kwenye uchaguzi. Kikubwa usiwe mkaliBitcoin inatumia Blockchain network, ikija watu kwenye kupoteza coins na kudukuliwa hiyo ni issue ingine ambayo pia ukitaka naweza kukufanulia
Naomba nitulie nikujibu hili swali vizuri sana, sasa hivi namalizia jukumu. JF ni sehemu nzuri mkuuz tunajifunza, kupeana fikra . Nitakujibu hili swali vizuri sana mkuu.Mkuu Mimi sina ubavu wa kukubishia. Ninachokifanya nakuletea wataalamu wenzako ushughulike nao. Tuanze na huyu hapa chini anayezungumzia matumizi ya Blockchain kwenye uchaguzi. Kikubwa usiwe mkali
=====
The Myth of “Secure” Blockchain Voting
by David Jefferson, Verified Voting[1]In the last couple of years several startup companies have begun to promote Internet voting systems, this time with a new twist – using a blockchain as the container for voted ballots transmitted from voters’ private devices. Blockchains are a relatively new system category somewhat akin to a distributed database. Proponents promote them as a revolutionary innovation providing strong security guarantees that can render online elections safe from cyber attack.
Unfortunately, such claims are false. Although the subject of considerable hype, blockchains do not offer any real security from cyber attacks. Like other online elections architectures, a blockchain election is vulnerable to a long list of threats that would leave it exposed to hacking and manipulation by anyone on the Internet, and the attack might never be detected or corrected.
In its recent report[2], “Securing the Vote – Protecting American Democracy” the National Academy of Sciences summarized its findings:
Conducting secure and credible Internet elections will require substantial scientific advances.
The use of blockchains in an election scenario would do little to address the major security requirements of voting, such as voter verifiability. The security contributions offered by blockchains are better obtained by other means. In the particular case of Internet voting, blockchain methods do not redress the security issues associated with Internet voting.
Source:The Myth of “Secure” Blockchain Voting | U.S. Vote Foundation
Nashukuru sana. Mkuu.Naomba nitulie nikujibu hili swali vizuri sana, sasa hivi namalizia jukumu. JF ni sehemu nzuri mkuuz tunajifunza, kupeana fikra . Nitakujibu hili swali vizuri sana mkuu.
Hii ni sehemu ya kwanza lakini nitaendelea mkuu wangu, kufafanua kwa hoja.Nashukuru sana. Mkuu.
Alikuwa kijana wa msoga na late mtama. Jiwe alikuja kugundua baadae but was too late the damage was already done. The same to DAB.Lilikuwa zengwe nini lililosababisha haya!?
Duh! kijana, mother,dab..! Hii collabo ilikuwa hatari kama ikidhibitishwa.Alikuwa kijana wa msoga na late mama. Jiwe alikuja kugundua baadae but was too late the damage was already done. The same to DAB.
Mkuu hapo nilikosea siyo mama NI mtamaDuh! kijana, mother,dab..! Hii collabo ilikuwa hatari kama ikidhibitishwa.