Modestus Kapilimba Former DGIS na (IT) ndiye aliunganisha NIDA, NEC na CCM?

Modestus Kapilimba Former DGIS na (IT) ndiye aliunganisha NIDA, NEC na CCM?

Yani boss TISS alafu bado unateuliwa ubalozi nchi mbalimbali hzo nchi hawajui km huyo jamaa usalama
Hizo nchi zinajua mabalozi na watumishi wote wa ubalozi ni wana usalama, hata wao waliowaleta kwetu ni wana usalama.
 
Hakuna mchungaji hapo.
Hao ndo watu ambao nchi hii ikipata ukombozi wa kweli lazima washughulikiwe vizuri kushtakiwa na kufungwa kwa kuwahujumu Wananchi na Taifa.

Labda afe.
Ndo mnapokosea, ilibidi iwe siri ukisema ndio wako tayari kushinda kivyovyote
 
Back
Top Bottom