Modestus Kapilimba Former DGIS na (IT) ndiye aliunganisha NIDA, NEC na CCM?

...kadhaa wa Blockchain zenye features mbali mbali za usalama na mabo mengine mazuri
Asante sana kwa kuja haraka kuniondoa dukuduku. Hata hivyo, nitatumia makala niliyokupa hapo juu katika kujiridhisha usalama wa blockchain. Nitasubiri umalize maelezo yako, nami nitakupa maoni juu ya yale ambayo nitakuwa bado nina wasi wasi nayo.

Pia ili kupunguza maswali mengi, ungeenda kwenye makala ile niliyokupatia source na uanze kujibu hoja za David Jefferson moja kwa moja.
 
Mkuu unampima vipi kwamba ana underdeliver? seems unajua zaidi yake, if so tupe hayo ambayo hajadeliver!

Kwanza kusema anayesema Polepole ana underdeliver anajua zaidi yake ni non sequitur logical fallacy.

I doubt you understand the concept and relationship between someone's promise and delivery. Ungeelewa, usingesema kwamba inaonekana ninajua zaidi.

Sihitaji kujua zaidi yake ili kuona huyu ka pronise 100% lakini alicho deliver hakijafika hata 5%.

Wabongo wengi kama wewe wana hiki kitabia cha mashindano cha kuweka non sequitur fallacy na false dichotomy kwamba , ili mimi kumshika Polepole kwenye hoja, inabidi niwe najua zaidi yake.

Sihitaji kujua zaidi yake, nahitaji kuona contradiction kwenye hoja zake tu. Huelewi wapi?

Naweza kusema ana under deliver kwa sababu alisema atalipua bomu la nuclear halafu anakuja kulipua baruti ambazo hazijafika hata level ya Molotov cocktail explosion.

Sasa hapo nahitaji kujua mengi zaidi yake kusema alisema atalipua nuclear bomb halafu alicholipua hakijafikia hata Molotov cocktail.

So your logic is flawed there.

Polepole alimpa Samia ultimatum asichukue fomu ama sivyo atapasua bomu. Basically patachimbika. Kimsingi hataruhusu Samia awe mgombea wa CCM.

Sasa Samia kachukua fomu. Mabomu yenyewe yako wapi?

Ndiyo haya?

Mbona Samia hata hajishughulishi kumjibu?

Mbona hakuna Polepole alichosema ambacho hakikujulikana awali?

Polepole kaongea kipi kipya ambacho hakikujulikana?

That is what I mean. He overpromised but when it comes to delivering, he underdelivered.
 
Asante sana kwa kuja haraka kuniondoa dukuduku. Hata hivyo, nitatumia makala niliyokupa hapo juu katika kujiridhisha usalama wa blockchain. Nitasubiri umalize maelezo yako, nami nitakupa maoni juu ya yale ambayo nitakuwa bado nina wasi wasi nayo.

Pia ili kupunguza maswali mengi, ungeenda kwenye makala ile niliyokupatia source na uanze kujibu hoja za David Jefferson moja kwa moja.
Naendelea mkuu, naandika pembeni then nakuwekea hapa. Hatuwezi fanya conclusion kwa makala ya mtu mmoja, maana pia nina makala nyingi zinazoe elezea usalama wa Blockchain. Ni lazima mwisho wa siku kupitia kila angle kabla ya kuja na jumuisho la kuhitimisha. Mda si mrefu naweka phase two.. Tukianza wekeana makala humu hatutomaliza mjadala 😅
 
Kipilimba hawezi kukubali kufanya huo uhuni wa kusaidia ccm kuiba kura maana yeye ni mchungaji ambaye anaishi Kwa amri kumi za Mungu. Mchungaji walimfanyia fitina wahuni ambao huwasema polepole ili kumuondia kwenye ukurugenzi baada ya kuwabana mirija Yao ya unyonyaji
 
Kwanza kusema anayesema Polepole ana underdeliver anajua zaidi yake ni non sequitur logical fallacy.

I doubt you understand the concept and relationship between someone's promise and delivery. Ungeelewa, usingesema kwamba inaonekana ninajua zaidi.

Sihitaji kujua zaidi yake ili kuona huyu ka pronise 100% lakini alicho deliver hakijafika hata 5%.

Wabongo wengi kama wewe wana hiki kitabia cha mashindano cha kuweka non sequitur fallacy na false dichotomy kwamba , ili mimi kumshika Polepole kwenye hoja, inabidi niwe najua zaidi yake.

Sihitaji kujua zaidi yake, nahitaji kuona contradiction kwenye hoja zake tu. Huelewi wapi?

Naweza kusema ana under deliver kwa sababu alisema atalipua bomu la nuclear halafu anakuja kulipua baruti ambazo hazijafika hata level ya Molotov cocktail explosion.

Sasa hapo nahitaji kujua mengi zaidi yake kusema alisema atalipua nuclear bomb halafu alicholipua hakijafikia hata Molotov cocktail.

So your logic is flawed there.

Polepole alimpa Samia ultimatum asichukue fomu ama sivyo atapasua bomu. Basically patachimbika. Kimsingi hataruhusu Samia awe mgombea wa CCM.

Sasa Samia kachukua fomu. Mabomu yenyewe yako wapi?

Ndiyo haya?

Mbona Samia hata hajishughulishi kumjibu?

Mbona hakuna Polepole alichosema ambacho hakikujulikana awali?

Polepole kaongea kipi kipya ambacho hakikujulikana?

That is what I mean. He overpromised but when it comes to delivering, he underdelivered.
Maybe you're more knowledgeable than us but you are silent however silence surrenders public responsibilities

Kunyamaza siyo amani bali ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa

Kumbe kunyamaza pia siyo uzalendo
 
Mwaka 2015 alikuwa mfanyakazi BOT Alitolewa BOT kwa taarifa kwamba anaende likizo.

Mwaka huo huo 2015 akaibukia NEC akafanya aliyoyafanya.

Baada tu ya Magufuli kuingia Ikulu aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa NIDA.

Badae akateuliwa kuwa mkurugenzi wa TISS.

Mpaka anaondoka TISS ilikuwa mshike mshike mpaka aliwekwa house of arrest.

Kabla ya kuteuliwa kuwa balozi wa TANZANIA nchini Namibia!!

Je ndiye alikuwa nyuma ya kuunganishwa kwa CCM,NIDA na NEC?

..Kipilimba anatuhumiwa kushirikiana na Magufuli kujaribu kumuua Tundu Lissu.
 
Maybe you're more knowledgeable than us but you are silent however silence surrenders public responsibilities

Kunyamaza siyo amani bali ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa

Kumbe kunyamaza pia siyo uzalendo
Kwa nini unatumia hoja ya kuniambia maybe I, Kiranga, am more knowledgeable than you wakati mimi nishasema sina ujuzi zaidi specifically kwenye hoja hizi, na wala sijatumia point ya ujuzi zaidi kumsema Polepole, nimetumia point ya logical consistency tu?

Sasa mimi nipo knowledgeable kuliko nyie kwenye lipi? Hebu liweke wazi hapa.

Na kunyamaza kwangu kuko wapi? Mimi nimenyamaza vipi? Mimi nimemsema Samia, nikamsema mpaka anayemsema Samia, huyo Polepole. Sasa hapo nimenyamaza vipi?

Kwa nini unaona mimi kumsema Polepole ni kunyamaza?

Au unakuwa na ile kawaida ya watu wengi Tanzania kwamba ukimkosoa Polepole tu, basi maana yake unataka umnyamazishe asiseme?

That is a false dichotomy.

Naweza nikasema Polepole hapa katupiga changa la macho. Alisema atalipua bomu la nuclear, halafu alicholipua hata baruti hakijafikia. Kwenye hoja specific, bila kumkataa Polepole na hoja zake zote kijumla.

Naweza kumkosoa hivyo, si kwa sababu nataka anyamaze. Si kwa sababu nataka asilipue kitu.

Bali, kwa sababu nataka aseme zaidi. Alipue hilo bomu la nuclear alilosema atalipua.

Sasa hapo mimi nataka Polepole aseme zaidi. Naona hajasema kama alivyoahidi.

Sasa hapo hoja ya kunyamaza inakuja vipi?
 
Mwaka 2015 alikuwa mfanyakazi BOT Alitolewa BOT kwa taarifa kwamba anaende likizo.

Mwaka huo huo 2015 akaibukia NEC akafanya aliyoyafanya.

Baada tu ya Magufuli kuingia Ikulu aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa NIDA.

Badae akateuliwa kuwa mkurugenzi wa TISS.

Mpaka anaondoka TISS ilikuwa mshike mshike mpaka aliwekwa house of arrest.

Kabla ya kuteuliwa kuwa balozi wa TANZANIA nchini Namibia!!

Je ndiye alikuwa nyuma ya kuunganishwa kwa CCM,NIDA na NEC?
Na ndiye aliye ongeza yeye na Makonda jitihada za kumaliza maisha ya Lissu
 
Ni lazima mwisho wa siku kupitia kila angle kabla ya kuja na jumuisho la kuhitimisha. Mda si mrefu naweka phase two.. Tukianza wekeana makala humu hatutomaliza mjadala 😅
Asante sana. Nakuunga mkono hoja yako ya kumaliza hili jambo haraka! Lakini, tulimalize kwa haraka na umakini bila kulitumbukiza taifa kwenye matatizo endapo tutashindwa kufanya uchambuzi kwa ukweli na umakini kungudua loop holes kwa kile tutakachukowa tunashauri.

Nakusubiri, Mkuu.
 
Back
Top Bottom