wewe ni mod?wewe ni bikra Me au Ke
Mods wako bize sana humu, wana id zaidi ya moja!Nyie mamods kwanza samahani ni, naomba msinipe ban maana sijawahi kupata ban kwa hiyo naomba msinipige ban kwa hii sledi wala msiifute.
Sasa ma mod mnajua nini, Mi naona mnajitesa sana kukaa kimya huko bila kuchangia hoja humu. Kuna nyuzi nyingi tuuuu mnapenda kuchangia ila eti mnavunga.
Kama ni ishu ya kuhofia kuonyesha upande wenu kwenye baadhi ya sledi, hata hi tu washkaji!!!!??
Nishangaa sana kuona ule Uzi wa kutupia picha za watoto wazuri hakuna hata mod mmoja aliyeonyesha sapoti kwa kutupia kapicha ka mtoto mzuri.
Mara mojamoja muwe mnakuja kutupa sapoti aiseee....
hahahahaEndelea tu, unachokitafuta utakipata
Mi nataka waje na ID zao official...Mbona huwa wanachangia
Kwa ID nyingine lakini😛
Kweli kabisa kipindi cha nyuma Mods walikuwa wanachangia mada kama kawaida na wengine walikuwa waanaanzisha uzi kabisa ila siku hizi kwa nini wanasoma kimya kimya bila kuchangia.Nyie mamods kwanza samahani ni, naomba msinipe ban maana sijawahi kupata ban kwa hiyo naomba msinipige ban kwa hii sledi wala msiifute.
Sasa ma mod mnajua nini, Mi naona mnajitesa sana kukaa kimya huko bila kuchangia hoja humu. Kuna nyuzi nyingi tuuuu mnapenda kuchangia ila eti mnavunga.
Kama ni ishu ya kuhofia kuonyesha upande wenu kwenye baadhi ya sledi, hata hi tu washkaji!!!!??
Nishangaa sana kuona ule Uzi wa kutupia picha za watoto wazuri hakuna hata mod mmoja aliyeonyesha sapoti kwa kutupia kapicha ka mtoto mzuri.
Mara mojamoja muwe mnakuja kutupa sapoti aiseee....
Yeeap mkuu. Kuna sledi pale juu ya chitchat ni stiky ilanzishwa na ivinsibo na ni sledi nzuri tu..sijui kwa nini siku hizi wameacha...Kweli kabisa kipindi cha nyuma Mods walikuwa wanachangia mada kama kawaida na wengine walikuwa waanaanzisha uzi kabisa ila siku hizi kwa nini wanasoma kimya kimya bila kuchangia.
Kuna mods mwingine hajawahi kupost chochote tangu ajiunge na anapiga kazi kama kawaida.
Mods tunahitaji na michango yenu bana kwenye mijadala kuna vitu muhimu tunavikosa kutoka kwenu pia.
Mod mwenzake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ha ha ha, hivi Mod ikitokea akachangia post halafu ikawa pumba nani anampiga ban?