Mods acheni kuchungulia nyuzi, njooni tuchat hapa

Mods acheni kuchungulia nyuzi, njooni tuchat hapa

Huu uzi nimeusubscribe ili nione comments za moderators..., wanajukwaa embu subirini kidogo
 
Hapo kutakuwa na conflict of interests, bora wabaki kama wale walinzi wa mpira wanaogeuka kuwaangalia washabiki hata kama goli limeingia hakuna kutazama.
Mkuu kwani hadi walinzi wabongo wanfanya hivo maana kunasiku niliona afande anashangilia sasa sikuelewa
 
Back
Top Bottom