- Thread starter
- #21
TunamsemeaHa ha ha, hivi Mod ikitokea akachangia post halafu ikawa pumba nani anampiga ban?
TunamsemeaHa ha ha, hivi Mod ikitokea akachangia post halafu ikawa pumba nani anampiga ban?
Mod mwenzake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wenda hakulijua hiliMods wako bize sana humu, wana id zaidi ya moja!
Yaan hii imebidi nicheke. Ndio uzuri wa chit chat[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo kutakuwa na conflict of interests, bora wabaki kama wale walinzi wa mpira wanaogeuka kuwaangalia washabiki hata kama goli limeingia hakuna kutazama.
Yaan hii imebidi nicheke. Ndio uzuri wa chit chat[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na zile high visibility jackets zao kama za matrafick wetu[emoji23] [emoji23]Wale walinzi wa mpira nawaoneaga huruma sana, yaani hata goli liingie hakuna kuangalia, mi nisingeweza.
Sasa na umod nahisi ndo hivyo hivyo, unaishia kuangalia tu.
Na zile high visibility jackets zao kama za matrafick wetu[emoji23] [emoji23]
Ni kweli mkuu.Yeeap mkuu. Kuna sledi pale juu ya chitchat ni stiky ilanzishwa na ivinsibo na ni sledi nzuri tu..sijui kwa nini siku hizi wameacha...
Ni sawa na kuuliza alieanzisha shule alisomea wapi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ha, hivi Mod ikitokea akachangia post halafu ikawa pumba nani anampiga ban?
Umeongea kwa lugha ya heri au ya shari mkuuEndelea tu, unachokitafuta utakipata
Umeua mzaziNi sawa na kuuliza alieanzisha shule alisomea wapi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heri tu mkuuUmeongea kwa lugha ya heri au ya shari mkuu
Yapo maswali mengi tu ya kujiuliza mkuu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] co hilo tuUmeua mzazi