Nyie mamods kwanza samahani ni, naomba msinipe ban maana sijawahi kupata ban kwa hiyo naomba msinipige ban kwa hii sledi wala msiifute.
Sasa ma mod mnajua nini, Mi naona mnajitesa sana kukaa kimya huko bila kuchangia hoja humu. Kuna nyuzi nyingi tuuuu mnapenda kuchangia ila eti mnavunga.
Kama ni ishu ya kuhofia kuonyesha upande wenu kwenye baadhi ya sledi, hata hi tu washkaji!!!!??
Nishangaa sana kuona ule Uzi wa kutupia picha za watoto wazuri hakuna hata mod mmoja aliyeonyesha sapoti kwa kutupia kapicha ka mtoto mzuri.
Mara mojamoja muwe mnakuja kutupa sapoti aiseee....