Mods naomba mumtandike Ban numbisa hata ya miaka mitano.

Mods naomba mumtandike Ban numbisa hata ya miaka mitano.

L
sasa kwa nini mliniacha kabla ya siku hiyo kufika?

Mkuu, wanakupiga ban huku wanatetemeka? Ukiona hivyo ujue una umuhimu mkubwa sana hapa JF na kuna uwezekano kuna mods walikuwa washakumiss and they couldnot afford to live without you...
 
Wa Allepo. Mambo ninayoyachukia MMU
[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] duuu afu stunter huyo ndio alianzisha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na watu wakapokea tu
Kumbe tunajitafutia maban loh!
 
Mkuu, wanakupiga ban huku wanatetemeka? Ukiona hivyo ujue una umuhimu mkubwa sana hapa JF na kuna uwezekano kuna mods walikuwa washakumiss and they couldnot afford to live without you...

ohooo!!! (PROF NDUMILAKUWILI)

wanapiga ban hawa mods kama naniliu leo sijui nini kimewatokea

au kuna mtu kawatupia shetani la gamboshi (my thumb wakinisikia, watanipiga la millenium)
 
Kama vipi muiteni HR 666 amchokonoe ...lazima atatukana tuu..

Atakawa keshapata Ban
 
Daby mbona mie hujantaja?
Au kwakuwa ni x wako basi ndio tushakuwa maadui?
..,maaaamaaayo zako kila unapopumua!
..mtoto wa kiume unajiita husna na unajipachika u-ex kabisa kwa mwanaume mwenzio!?
...maamae!
 
..,maaaamaaayo zako kila unapopumua!
..mtoto wa kiume unajiita husna na unajipachika u-ex kabisa kwa mwanaume mwenzio!?
...maamae!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] sitakujibu
 
Heheheeeee. Halooooo ya mapupu. Juzi nimenusurika kupewa burn. Ila wakaishia kunifutia post tu na wakaniacha
 
Back
Top Bottom