Mods naomba mumtandike Ban numbisa hata ya miaka mitano.

Mods naomba mumtandike Ban numbisa hata ya miaka mitano.

Haha bailout ya nini sasa.

Hawa hapa.
STUNTER Sumbai saint Ivuga Jovitha Inna husna muba Joseverest .... ila wewe Allepo ban yako imekwisha mwambie aliyekuachia awaachie basi . Wakitoka mchukue Jovitha
Ban imenikata mzuka wa kushusha thread...
 
Duuh jirani ubarikiwe upendo wako ni kiwango cha juu
Huyo Allepo sina hamu naye kasababisha ukoo mzima tumepigwa ban
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli huyu alepo ovyoo sana sikuwahi kuwaza km ingetokea siku nikala ban humu
 
Back
Top Bottom