MoDs piga ban wafuatao tafadhali:

Nimetuma makachero wangu sobhuza,boflo na figganigga wafuatilie nyendo zako,nikishapata taarifa za kiintelijensia nita edit,laki so far the verdict stands.

Sasa unategemea kupata real info hapo? Boflo is biased. Akiniona naongea na mwanaume, hata muuza duka, anashikwa na wivu mkali sana. Please replace that one.
 
Last edited by a moderator:
Mod yeyote naomba apige ban Bishanga kwa kuhemuka

na thread yangu lkn bado ananiombea ban! teh teh teh

ujue wewe kuna watu wakiona thread zako wanaandaa tissue kabisa kabla ya kukaa kwenye PC,zambi ujue!
 
Sasa unategemea kupata real info hapo? Boflo is biased. Akiniona naongea na mwanaume, hata muuza duka, anashikwa na wivu mkali sana. Please replace that one.

mafunzo ya ukachero ni pamoja na ujuzi wa disguise,atajitia mihasira kumbe mihasira feki anakusanya data,007 huyo,mtu wa kazi Boflo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…