Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
babu Asprin, kitandani na joto hili?Mtu yeyote mwenye hekima na busara zake wa jinsia ya kike, hebu aje kitandani hapa anihadithie hapa mnajadiliana kitu gani hasa?:bange::bange:
umeona eeeeeeeeh Kaizer. huyo Bishanga mwenyewe pamoja na kujisifia na mihela ambayo hana, kumbe pia ni kilaza, yaani kumfundisha itakuwa shida sanaNilishasema mapema, uyu Bishanga hajuagi haya mambo! nilipoona post ya kumshukuru nikajua enhee, mtu ameshakuwa fixed na Fixed Point. response yake sasa....:happy::happy:
Bishanga ngoja nimalizie kumlisha kadogoo naja! agiza kabisa na kinywaji changu niwekee, si unakijua, ila nitamix na ulanzi, maana bila kunywa vya kwetu somo linaweza lisieleweke!basi twenzetu jackies masaki tukafakamie mikuku.
Tatizo lako majungu mengi utadhani umezaliwa siku ya umbea duniani
Hata kama amekosea mchagulie adhabu nyingine,hiyo ban akifungwa P.O.P ya fanyio si ndo utakuwa umemuua mhaya huyo.na anavyopenda!!
hahahahaaaa Pemba umeacha kwenda siku hizi?
mmmmmmhhhhhh!!!umeongea saaaaaaaaaaaana....
platozoom nani yako? naona unatafuta ban ya nguvu sasa charminglady.
usham PM? kakujibuje?