Modus operandi ya Rais Magufuli ni ya ajabu!

Modus operandi ya Rais Magufuli ni ya ajabu!

Kwani yeye Urais aliupataje, si aligongana nao tu kwenye foleni au umesahau.
 
Hizi akili na nguvu mnazotumia kuanzisha hoja ambazo kiuhalisia hazitusaidii kwenye lolote kama wananchi.
Zaidi ya mleta hojana wenzako kutaka kutuonyesha weledi wa kujua itifaki na blah...blah.

Tunajua kabisa magufuli ni wa aina yake na utendaji wake sio ule wa mazowea.

Mngetumia nguvu kutafakari ni wapi mlikosea hadi wananchi wakawatupa kushoto.
 
Nothing strange in a despotic disposition. That’s how the deck is stacked up in the URT. It’s up to the incumbent to decide his/her level of tyranny or benevolence.

Now, trashing of norms, ethics, statutes, rules, protocols and laws is essential in propping up a personality cult rule. No one; nobody should second guess you on your wishes and actions. And nobody else’s feelings, opinions or interests should be entertained.

You have to have the last word. T.h.w. the constitution, governing laws, procedures and protocols. Nothing strange at all.

Hakuna cha ajabu.
 
Back
Top Bottom