Mohamed alipenda kujitofautisha tu kukataa kifo cha Yesu

Mohamed alipenda kujitofautisha tu kukataa kifo cha Yesu

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Hili suala la Mohamed kusema Yesu hakufa msalabani ni kituko kweli, kila mtu anayeamini Yesu alikuwa mtu halisi kihistoria aliyeishi duniani anaamini Yesu alikufa msalabani.

Hata Atheists na Agonistics wanaamini Yesu alisulubiwa na kufa msalabani kama jambo halisi la historia.

Mudi bora angesema Yesu hakufufuka angeonekana mtu serious wa maana na watu wengi wenye akili ila kusema Yesu hakufa kabisa ni sawa na wanaosema Yesu hakuwahi kuwepo wakati ushahidi wa kihistoria umejaa tele.
 
Udhaifu mkubwa wa Mudi ulikuwa ni kutokujua kusoma wala kuandika. La sivyo angalifanya utafiti kama alivyofanya Myunani Luka na kuandika kitabu cha Injili.

Huu ndiyo ukweli mchungu nyuma ya dini ya Kiislamu, yaani Shetani mlaaniwa wa Mungu anasilimu na kuwa Muislamu! Giza na mwanga ni wapi na wapi!? Yaani Mudi hii kitu uliipata wapi?
 
Hili suala la Mohamed kusema Yesu hakufa msalabani ni kituko kweli, kila mtu anayeamini Yesu alikuwa mtu halisi aliyeishi duniani anaamini Yesu alikufa msalabani.

Hata Atheists na Agonistics wanaamini Yesu alisulubiwa na kufa msalabani kama jambo halisi la historia.
 

Attachments

  • SAVE_20261006_060825.jpg
    SAVE_20261006_060825.jpg
    134.9 KB · Views: 11
Unaamini Maneno ambayo yanasemwa yameshushwa kama wahyi ila hakuna mtu hata mmoja ambaye alisikia au kuona yakishushwa?.

Kwa miaka yote 23 hakuna shahidi aliyehisi au kusikia hata sauti au kumuona Jibril zaid ya Mudi.

Kule pangoni yeye mwenyewe alisema anahisi amepagawa na majini. Nyinyi mkampa kichwa mkasema ni Malaika kama aliyemtokea Mussa.
Na ndio utapeli wote ukaanzia hapo.

Alafu kuna tofauti gan na ww na mm. Ukiota au usiote ila ukasema nimeoteshwa ABC.

Pia Hakuna Muujiza hata mmoja amewah kufanya.

Mudi ni normal person na quran is just merely a dream.
 
Udhaifu mkubwa wa Mudi ulikuwa ni kutokujua kusoma wala kuandika. La sivyo angalifanya utafiti kama alivyofanya Myunani Luka na kuandika kitabu cha Injili.

Huu ndiyo ukweli mchungu nyuma ya dini ya Kiislamu, yaani Shetani mlaaniwa wa Mungu anasilimu na kuwa Muislamu! Giza na mwanga ni wapi na wapi!? Yaani Mudi hii kitu uliipata wapi?
Wewe pia nilizani una akili kumbe ni kombeo tupu

Luka ndiye aliandika injili?
 
Wewe na usomi wako lakini humzidi elimu hata nukta,na hawo unaowaamini ni wasomi bado wanafata elimu yake
Wasomi wengi wanaamini vitu vya kijinga kuanzia kwenye dini hadi kwa waganga na cults mbalimbali.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Yesu Kristo na Issa.

Muhammad anamzungumzia Issa kuwa hakufa bali alipaiswa na kwenda kwa Allah.

Pia kuna tofauti kubwa sana kati ya Allah na God. Hao wana sifa tofauti kabisa kulingana na maandiko ya hivyo vitabu yaani Biblia na Quran.

So tuendelee kuamini maelezo ya Muhammad kuhusu Issa na tuendelee kuamini maandiko ya Biblia kuhusu Yesu kristo.

Kikubwa imani zote hapa duniani lengo letu na kumfikia Muumba wetu "The Creatot" hivyo ni muhimu kuheshimu kile ambacho wenzako wamekichagua kama njia ya kumfikia Muumba wao. Tusipangiane njia ya kutumia kumfikia Muumba wetu.

Kabla ya uislamu na ukristo kuja mababu zetu walimjua Mungu kupitia imani zao mbalimbali na ndio maana hata lugha zetu zinatambua uwepo wa Mungu kwa majiba mbalimbali
 
Luka ndiye aliandika injili
Jibu swali
msomi Luka aliandika vitabu viwili kwenye agano jipya. Kimoja kinahusu maisha ya Yesu na kimoja kinahusu mitume waliokuwa wanafanya harakati za Kueneza neno la Yesu.
Hivi vyote ni Injili.

najua tafsiri ya Injili kati ya Waislam na Wakristo ni tofauti. Na hapa ndio kuna hoja siku zote.

Injili kwa wakristo ni Habari za Wokovu zinazomhusu Yesu na mitume waliokuwa wanasambaza neno lake.

Je kwenu, nn hasa maana ya Injili?.
 
Waisla hawaamini hili.
Wao wanaamini Yesu alipaishwa na allah. Hakufa.

Kitu kingine. Quran inawataka waiamini Injili. Ila wao wanasema Injili hii imepotoshwa sio ile OG.

Ukiwaambia wakupe hiyo OG hawana.
Ni jambo la kuchekesha kwa kweli.
Sisi tunaamini injili ya Yesu, torati ya Musa na zaburi ya Daud
Hatuamini injili ya Luka na barua za Paulo kwa wakorntho
 
Udhaifu mkubwa wa Mudi ulikuwa ni kutokujua kusoma wala kuandika. La sivyo angalifanya utafiti kama alivyofanya Myunani Luka na kuandika kitabu cha Injili.

Huu ndiyo ukweli mchungu nyuma ya dini ya Kiislamu, yaani Shetani mlaaniwa wa Mungu anasilimu na kuwa Muislamu! Giza na mwanga ni wapi na wapi!? Yaani Mudi hii kitu uliipata wapi?
Yesu alikuwa anajua kusoma na kuandika? Maana kusoma na kuandika kipindi kile Ilikuwa ni kwa watu walioyoka familia zinazojiweza nadhani....
 
Back
Top Bottom