Hili suala la Mohamed kusema Yesu hakufa msalabani ni kituko kweli, kila mtu anayeamini Yesu alikuwa mtu halisi aliyeishi duniani anaamini Yesu alikufa msalabani.
Hata Atheists na Agonistics wanaamini Yesu alisulubiwa na kufa msalabani kama jambo halisi la historia.
Wewe pia nilizani una akili kumbe ni kombeo tupuUdhaifu mkubwa wa Mudi ulikuwa ni kutokujua kusoma wala kuandika. La sivyo angalifanya utafiti kama alivyofanya Myunani Luka na kuandika kitabu cha Injili.
Huu ndiyo ukweli mchungu nyuma ya dini ya Kiislamu, yaani Shetani mlaaniwa wa Mungu anasilimu na kuwa Muislamu! Giza na mwanga ni wapi na wapi!? Yaani Mudi hii kitu uliipata wapi?
Sasa injili imeandikwa na naniWewe pia nilizani una akili kumbe ni kombeo tupu
Luka ndiye aliandika injili?
Alokwambia tunaabudu Brian decon ni naniWafuasi brian deacon mna vituko kweli kweli
Brian deacon unaemuabudu ana miska 78 kama babu yako
Endelea kutokujua ila huo ndo ukweliAlokwambia tunaabudu Brian decon ni nani
Luka ndiye aliandika injiliSasa injili imeandikwa na nani
Waisla hawaamini hili.Atheists wanaamini Yesu aliuliwa msalabani.
msomi Luka aliandika vitabu viwili kwenye agano jipya. Kimoja kinahusu maisha ya Yesu na kimoja kinahusu mitume waliokuwa wanafanya harakati za Kueneza neno la Yesu.Luka ndiye aliandika injili
Jibu swali
Sisi tunaamini injili ya Yesu, torati ya Musa na zaburi ya DaudWaisla hawaamini hili.
Wao wanaamini Yesu alipaishwa na allah. Hakufa.
Kitu kingine. Quran inawataka waiamini Injili. Ila wao wanasema Injili hii imepotoshwa sio ile OG.
Ukiwaambia wakupe hiyo OG hawana.
Ni jambo la kuchekesha kwa kweli.
Hebu anzia hapa kwanza.Sisi tunaamini injili ya Yesu, torati ya Musa na zaburi ya Daud
Hatuamini injili ya Luka na barua za Paulo kwa wakorntho
Yesu alikuwa anajua kusoma na kuandika? Maana kusoma na kuandika kipindi kile Ilikuwa ni kwa watu walioyoka familia zinazojiweza nadhani....Udhaifu mkubwa wa Mudi ulikuwa ni kutokujua kusoma wala kuandika. La sivyo angalifanya utafiti kama alivyofanya Myunani Luka na kuandika kitabu cha Injili.
Huu ndiyo ukweli mchungu nyuma ya dini ya Kiislamu, yaani Shetani mlaaniwa wa Mungu anasilimu na kuwa Muislamu! Giza na mwanga ni wapi na wapi!? Yaani Mudi hii kitu uliipata wapi?