Kuna vitu huwa sielewi kwa Yanga Andambwile alikuwa mchezaji anayefanya vizuri pale Yanga alikuwa anawapa utulivu pale Kati,alikuwa analeta flow ya mchezo uwe mzuri, anajua kuwin mipira ya juu, kukaba na ni mzuri kwenye set piece kufunga magoal ya vichwa sijui Nini kimefanya awe benchi au ni vile Hali ya kutothamini wachezaji wazawa ili mgeni apate number.
Nikiangalia uwezo wa Damaro huwa najiuliza inakuaje huyu jamaa anapata number pale Yanga kazidiwa uwezo na Andambwile karibia maeneo mengi nikashangaa zaidi pia kumuona kacheza Derby. Ukiachana na kutumia nguvu nyingi akili ya mpira hana, mzito sio flexible.