Mohamed Damaro si kiungo mzuri, anawachelewesha Yanga

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
18,969
Reaction score
27,446
IMG-20251231-WA0193.jpg

Kuna vitu huwa sielewi kwa Yanga Andambwile alikuwa mchezaji anayefanya vizuri pale Yanga alikuwa anawapa utulivu pale Kati,alikuwa analeta flow ya mchezo uwe mzuri, anajua kuwin mipira ya juu, kukaba na ni mzuri kwenye set piece kufunga magoal ya vichwa sijui Nini kimefanya awe benchi au ni vile Hali ya kutothamini wachezaji wazawa ili mgeni apate number.

Nikiangalia uwezo wa Damaro huwa najiuliza inakuaje huyu jamaa anapata number pale Yanga kazidiwa uwezo na Andambwile karibia maeneo mengi nikashangaa zaidi pia kumuona kacheza Derby. Ukiachana na kutumia nguvu nyingi akili ya mpira hana, mzito sio flexible.
 
Nadhani mwisho wa msimu atarudi singida alipotoka, kuna utulivu fulani amekosa au anataka ku impress to the maximum ili apate contract
 
View attachment 3582754

Kuna vitu huwa sielewi kwa Yanga Andambwile alikuwa mchezaji anayefanya vizuri pale Yanga alikuwa anawapa utulivu pale Kati,alikuwa analeta flow ya mchezo uwe mzuri, anajua kuwin mipira ya juu, kukaba na ni mzuri kwenye set piece kufunga magoal ya vichwa sijui Nini kimefanya awe benchi au ni vile Hali ya kutothamini wachezaji wazawa ili mgeni apate number.

Nikiangalia uwezo wa Damaro huwa najiuliza inakuaje huyu jamaa anapata number pale Yanga kazidiwa uwezo na Andambwile karibia maeneo mengi nikashangaa zaidi pia kumuona kacheza Derby. Ukiachana na kutumia nguvu nyingi akili ya mpira hana, mzito sio flexible.
Andambwile mchezaji wa kawaida, mechi ya ngao kiungo chote kilipoteana kuanzia dk ya kwanza mpaka ya mwisho japo Yanga alishinda,hata mechi za mwanzo hakuwa bora kivile.

Mistake aliyofanya juzi kocha wa Yanga ni kumtoa Damaro, mipira mingi ya fifty fifty alikuwa anaiwin Damaro na hata alipokuwepo, Okelo na Pacome walikuwa wanaonekan,max na muda kazi yao haikuwa ngumu, alivyotoka tu kidogo possession ikadrop alivyo umia Muda ndio kabisa Yanga ilipotea, ila dk 60 za kwanza Yanga ilikuwa bora sababu ya Damaro. Andambwile mzuri, ila bado hajamfikia Damaro,hata mechi ya juzi na Azam, chanzo cha kupigwa ni Damaro uwezo wake wa kuwin mipira ya fifty fifty na uwezo wa kupiga pasi sahihi anao.
 
Andambwile hapewi nafasi mechi nyingi anaanzia benchi tofauti na kipindi cha kocha aliyepita na unaona namna Yanga ilivyokuwa yeye ni kiungo na ile derby alicheza vizuri sana. Hii derby ya juzi anaingizwa kama vile Bora liende hapewi heshima huyu jamaa lakini kiungo mzuri sana kama mkimuamini kama alivyofanya kocha aliyepita na huyo Damaro aendelea kucheza angekula umeme mechi ilimshinda alikuwa anacheza rafu zisizo na akili kwa zile rafu amshukuru refa tofauti na hapo mngekuwa pungufu.
 
View attachment 3582754

Kuna vitu huwa sielewi kwa Yanga Andambwile alikuwa mchezaji anayefanya vizuri pale Yanga alikuwa anawapa utulivu pale Kati,alikuwa analeta flow ya mchezo uwe mzuri, anajua kuwin mipira ya juu, kukaba na ni mzuri kwenye set piece kufunga magoal ya vichwa sijui Nini kimefanya awe benchi au ni vile Hali ya kutothamini wachezaji wazawa ili mgeni apate number.

Nikiangalia uwezo wa Damaro huwa najiuliza inakuaje huyu jamaa anapata number pale Yanga kazidiwa uwezo na Andambwile karibia maeneo mengi nikashangaa zaidi pia kumuona kacheza Derby. Ukiachana na kutumia nguvu nyingi akili ya mpira hana, mzito sio flexible.
Andabwile hana namba timu yoyote iliyoko top. 4. Pale Azam hata sub Hakai.
 
Andambwile mchezaji wa kawaida, mechi ya ngao kiungo chote kilipoteana kuanzia dk ya kwanza mpaka ya mwisho japo Yanga alishinda,hata mechi za mwanzo hakuwa bora kivile.

Mistake aliyofanya juzi kocha wa Yanga ni kumtoa Damaro, mipira mingi ya fifty fifty alikuwa anaiwin Damaro na hata alipokuwepo, Okelo na Pacome walikuwa wanaonekan,max na muda kazi yao haikuwa ngumu, alivyotoka tu kidogo possession ikadrop alivyo umia Muda ndio kabisa Yanga ilipotea, ila dk 60 za kwanza Yanga ilikuwa bora sababu ya Damaro. Andambwile mzuri, ila bado hajamfikia Damaro,hata mechi ya juzi na Azam, chanzo cha kupigwa ni Damaro uwezo wake wa kuwin mipira ya fifty fifty na uwezo wa kupiga pasi sahihi anao.
Damaro hajui bhn toka apa
 
Back
Top Bottom