Mohamed Dewj mzalendo halisi!

Mohamed Dewj mzalendo halisi!

Uzalendo kwa nchi yako uko katika nyanja tofauti na ninaweza kusema hata mtu anaesaidia kuinua michezo kuhakikisha nchi yake inafanikiwa ni Mzalendo. Sio kuingia vitani na kuipigania nchi yako ndio uzalendo pekee. Kuna vitu vingi vitakavyoweza kukufanya uonekane mzalendo kwenye nchi yako, kuna walimu wanaotumia taaluma yao kuinua kiwango cha elimu nchini wao pia ni wazalendo, kuna madaktari wanaotumia udaktari wao kuinua hali ya afya nchini wao pia ni wazalendo, kuna wachezaji soka wanaojitahidi kila siku ili wahahakikishe nchi yao inashinda wao pia ni wazalendo, kuna wachangiaji wa JF ambao wako hapa kila siku kuipigia kelele serikali ifuate mfumo wa haki na upigaji vita rushwa wao pia ni wazalendo, kuna wabunge wetu kina Dr. Slaa wanaotumia bunge kuwakilisha vilio vyetu wao pia ni wazalendo. Ndugu Mushi sielewi wewe kwako uzalendo ni upi lakini nataka nikukumbushe tu uzalendo uko kwenye njanya mbalimbali. Labda Mushi tupe maana yako ya uzalendo.

Kwangu mimi uzalendo ni kulipenda Taifa lako kwa moyo mmoja na bila kujali kama utanufaika ama la...Hapo kwangu huo ndio uzalendo wenyewe.
Usidhani kwamba hawajui hawa watu...Wangekuwa wazalendo kiukweli Taifa lingekuwa mbali sana kimaendeleo.
Kama ukienda mahali ukakuta kucheza bao ni dili basi ukausadia mchezo wa bao watakuona wewe ni mwenzao..Huo ndio uafrika,utamaduni ambao wageni waliutumia vibaya na certainly wanaendelea kufanya hivyo...Wasaidie maendeleo ya kweli na shughuli za kujenga Taifa na si mambo ya soka na mdundiko.
Nasema sitaki tena waafrika tuendelee kufanywa makatuni.
 
Balantanda uzalendo ni kusapoti soka?
Soka ambayo ilianzia Uingereza na wao bado wanawazomea wachezaji weusi kama monkeys?
Anyways back to the point ni kwamba jiulize kipindi kile cha zamani cha kila mchezaji na mpira wake..Kipindi cha kina Mwameja...Kina Azim Dewji...Zamani walikuwa hata hawasachiwi sijui kuhusu sasa...Lakini nia yao si lazima iwe uzalendo...Inawezekana ni kujtangaza kibiashara...Si unakumbuka mambo ya Bobby Soap?
Sisi waafrika ni budi tubadilike...Mzungu naye si alikuja akajiunga kwenye mdundiko tukampa uhuru wetu?
Sasa kuja kwenye mechi na kucheza mdundiko ni uzalendo...Hivi unajuwa uzalendo ni neno zito?

Mkuu nimekusoma,lakini ukiisoma post yangu hapo juu nimesema kuwa jamaa kaonesha 'elements' fulani za uzalendo japo anaweza kuwa si mzalendo..Labda unaweza kunisaidia kwa kunipa maana halisi ya uzalendo ili nipate ufahamu zaidi mkuu,otherwise heshima mbele mkuu,be blessed
 
Mkuu Balantanda..Ameonyesha kile anachotaka kionekane kwasababu ana bahati kuwa na yeye ana mapenzi ya soka...Sasa soka ni utanzania?
Ama kuna uzalendo usiohusisha utaifa na ama kuwa tayari kusacrifice yourself for the nation?
 
Kwangu mimi uzalendo ni kulipenda Taifa lako kwa moyo mmoja na bila kujali kama utanufaika ama la...Hapo kwangu huo ndio uzalendo wenyewe.
Usidhani kwamba hawajui hawa watu...Wangekuwa wazalendo kiukweli Taifa lingekuwa mbali sana kimaendeleo.
Kama ukienda mahali ukakuta kucheza bao ni dili basi ukausadia mchezo wa bao watakuona wewe ni mwenzao..Huo ndio uafrika,utamaduni ambao wageni waliutumia vibaya na certainly wanaendelea kufanya hivyo...Wasaidie maendeleo ya kweli na shughuli za kujenga Taifa na si mambo ya soka na mdundiko.
Nasema sitaki tena waafrika tuendelee kufanywa makatuni.

Dah,kwa staili hii basi TZ tuna wazalendo wachache sana...anyways mkuu unaposema waafrika unamaanisha akina nani?????,akina Mgonja,Mramba,Yona ama??????
 
Kwangu mimi uzalendo ni kulipenda Taifa lako kwa moyo mmoja na bila kujali kama utanufaika ama la...Hapo kwangu huo ndio uzalendo wenyewe.
Usidhani kwamba hawajui hawa watu...Wangekuwa wazalendo kiukweli Taifa lingekuwa mbali sana kimaendeleo.
Kama ukienda mahali ukakuta kucheza bao ni dili basi ukausadia mchezo wa bao watakuona wewe ni mwenzao..Huo ndio uafrika,utamaduni ambao wageni waliutumia vibaya na certainly wanaendelea kufanya hivyo...Wasaidie maendeleo ya kweli na shughuli za kujenga Taifa na si mambo ya soka na mdundiko.
Nasema sitaki tena waafrika tuendelee kufanywa makatuni.

Sisi hapa tunamzungumzia Mohammed Dewji kama mtu binafsi na haituizungumzii jamii yake. Maendeleo ya kweli ni yapi? huoni kuwa kwa kutumia soka tunaweza pia kuongeza pato la nchi kwenye utalii au hata kuboresha maisha ya vijana mbalimbali ambao wanaweza kuisaidia taifa lao kwa kuchangia kwenye pato la Taifa. Ukianza kujumuisha jamii yake utakuwa unakosea, sisi tunamzungumzia yeye kama mtu binafsi na michango yake mbalimbali. Je Mushi wewe ni Mzalendo? na umechangia nini kwenye Taifa lako?
 
Mkuu Balantanda..Ameonyesha kile anachotaka kionekane kwasababu ana bahati kuwa na yeye ana mapenzi ya soka...Sasa soka ni utanzania?
Ama kuna uzalendo usiohusisha utaifa na ama kuwa tayari kusacrifice yourself for the nation?

Haya mkubwa nimekusoma na kukuelewa,,be blessed
 
Mkuu Balantanda..Ameonyesha kile anachotaka kionekane kwasababu ana bahati kuwa na yeye ana mapenzi ya soka...Sasa soka ni utanzania?
Ama kuna uzalendo usiohusisha utaifa na ama kuwa tayari kusacrifice yourself for the nation?

Kutokana na hii definition yako ambayo iko flawed JE MZALENDO ni nani katika Tanzania?
 
Sisi hapa tunamzungumzia Mohammed Dewji kama mtu binafsi na haituizungumzii jamii yake. Maendeleo ya kweli ni yapi? huoni kuwa kwa kutumia soka tunaweza pia kuongeza pato la nchi kwenye utalii au hata kuboresha maisha ya vijana mbalimbali ambao wanaweza kuisaidia taifa lao kwa kuchangia kwenye pato la Taifa. Ukianza kujumuisha jamii yake utakuwa unakosea, sisi tunamzungumzia yeye kama mtu binafsi na michango yake mbalimbali. Je Mushi wewe ni Mzalendo? na umechangia nini kwenye Taifa lako?

Geeque na Balantanda...Ninawapata sawia.

Geeque...Unaposema tumzunguzie Mohamed Dewji binafsi na wakati huo huo unahusisha kitendo chake na Uzalendo si sahihi kabisa...Mngesema tu jamaa anapenda soka na kwasababu ana uwezo basi anasaidia soka.

Kichwa cha habari kinasema Dewji ni mzalendo halisi...Yani kwasababu ya soka?

Sasa kati ya nchi na soka kipi anakipenda first?
Mkuu Geeque unajuwa tuko hapa USA,binafsi mimi nimekuja kutafuta life...Lakini viongozi wetu wakishapata madaraka wao tayari wan life...La kushangaza utakuta bado wanaishi mguu ndani mguu nje..Mgonja mfano halisi na wengineo.

Ungesoma posting yangu ya kwanza pia ungeelewa...Kusaidia shughuli za kimaendeleo pia si sababu pekee ya kusema ni uzalendo...Kama wazungu wanapotusaidia ni kwasababu ya uzalendo?

Shukran Dewji kwa kuwasaidia wanamichezo na kuongeza pato la Taifa na vijana na kuitangaza Tanzania...Lakini bado uzalendo siwezi kukupa.
Mimi binafsi napiga vita ufisadi na ukabila na hivyo najihesabu kama mzalendo.

Na wakati ukifika nitarudi nchini kwangu kuendeleza shughuli for the sake of next generation.
 
Kutokana na hii definition yako ambayo iko flawed JE MZALENDO ni nani katika Tanzania?

Uzalendo basic definition....

Patriotism is a love of and loyalty to one's country. A patriot is someone who loves, supports, and is prepared to serve their country. The word patriotism comes from a Greek word meaning fatherland. For most of history, love of fatherland or homeland was an attachment to the physical features of the land. But that notion changed in the eighteenth century, when the ideals of democracy, socialism, and communism strongly emerged into political thought. Patriotism was still a love of one's country that included connections to the land and people, but then also included its customs and traditions, pride in its history, and devotion to its welfare. Today most people agree that patriotism also involves service to their country, but many disagree on how to best perform such service. Some believe that the national government speaks for a country; therefore, all its citizens should actively support government policies and actions. Others argue that a true patriot speaks out when convinced that their country is following an unwise or unjust action.
 
Na hata akija mtu mwingine na yeye atakwambia kwamba anasaidia kuinua kiwango cha michezo nchini kutokana na mapenzi yake kwa nchi yake, kuna watu wangapi wanazisaidia Simba na Yanga lakini hukuti wanatumia uwezo wao kuisaidia Timu ya Taifa?

Je na mwalimu akija kukwambia anatumia taaluma yake kufuta ujinga kwa vijana wa Tanzania ili baadae nchi yetu iwe na viongozi bora akakwambia kuwa anafanya kazi kwa uzalendo na upendo wa nchi yake utasemaje?

Atakuja Daktari atasema anafanya kazi kwenye mazingira magumu na kulipwa mshahara mdogo lakini kitu kikubwa kinachomsukuma ni kuona sekta ya afya inaboreshwa kwenye nchi ambayo anaipenda na ana uzalendo nayo, utasemaje?

Kwa hiyo Mazee Mushi ukiangalia watu wazalendo wako katika sehemu tofauti na sekta mbalimbali.
 
JMushi,

Umeandika mengi ya maana. Lakini kama alivyoeleza GQ, kuwa mzalendo haina maana ya kwamba uweke mikono yako katika kila nyanja ya kijamii. Unaweza kuelekeza mikono yako katika moja/baadhi ya nyanja na bado ukawa mzalendo.

Kwangu mimi uzalendo ni kulipenda Taifa lako kwa moyo mmoja na bila kujali kama utanufaika ama la...Hapo kwangu huo ndio uzalendo wenyewe.

Tukizingatia tafsiri yako, basi pengine kuna wazalendo wachache sana nchini kwetu. Ukiondoa sisi walalahoi, tujiulize ni wangapi walioko kwenye nafasi za juu wanafit kwenye hiyo definition uliyoitoa?

Wametajwa hapa wakina Mramba, Yona, Mkapa na kadhalika. Hawa 'wakina sisi' walipewa nafasi ya uongozi, lakini badala yake wakatumia nafasi hizo kwa manufaa yao. Kwa hiyo utaona kuwa pengine tunaweza kuwa hatuna mzalendo halisi. Afterall, viongozi wetu ni reflection yetu sisi wenyewe (FMES)....

Usidhani kwamba hawajui hawa watu...Wangekuwa wazalendo kiukweli Taifa lingekuwa mbali sana kimaendeleo.

Vivyo hivyo, kama 'wakina sisi' tungekuwa wazalendo, basi Taifa lingekuwa mbali sana. Kwa hiyo, kabla ujakurupuka na kunyoosha kidole kwao, angalia 'wakina sis' tumefanya nini kuendeleza taifa letu.

Wasaidie maendeleo ya kweli na shughuli za kujenga Taifa na si mambo ya soka na mdundiko.

Ni wangapi 'wakina sisi' wamesaidia/wanasaidia kuendeleza maendeleo ya Bongo? JMushi, unakuwa mkali sana mpaka unasahau kuwa nasi pia ni vinara wa kutofanya chochote kusaidia maendeleo ya Bongo.

Mpe M. Dewj credit zake. Anastahili.
 
Uzalendo basic definition....

Patriotism is a love of and loyalty to one's country. A patriot is someone who loves, supports, and is prepared to serve their country. The word patriotism comes from a Greek word meaning fatherland. For most of history, love of fatherland or homeland was an attachment to the physical features of the land. But that notion changed in the eighteenth century, when the ideals of democracy, socialism, and communism strongly emerged into political thought. Patriotism was still a love of one's country that included connections to the land and people, but then also included its customs and traditions, pride in its history, and devotion to its welfare. Today most people agree that patriotism also involves service to their country, but many disagree on how to best perform such service. Some believe that the national government speaks for a country; therefore, all its citizens should actively support government policies and actions. Others argue that a true patriot speaks out when convinced that their country is following an unwise or unjust action.

Ndo maana nikasema ameonesha element ya uzalendo(kwa kusupport Timu yetu ya Taifa)..Anyways tatizo hapa nadhani lipo kwenye heading ambayo ni rahis tu kuirekebisha..kazi kwako mkuu QM
 
Uzalendo basic definition....

Patriotism is a love of and loyalty to one's country. A patriot is someone who loves, supports, and is prepared to serve their country. The word patriotism comes from a Greek word meaning fatherland. For most of history, love of fatherland or homeland was an attachment to the physical features of the land. But that notion changed in the eighteenth century, when the ideals of democracy, socialism, and communism strongly emerged into political thought. Patriotism was still a love of one's country that included connections to the land and people, but then also included its customs and traditions, pride in its history, and devotion to its welfare. Today most people agree that patriotism also involves service to their country, but many disagree on how to best perform such service. Some believe that the national government speaks for a country; therefore, all its citizens should actively support government policies and actions. Others argue that a true patriot speaks out when convinced that their country is following an unwise or unjust action.

Sasa niambie kutokana na hiyo definition hapo juu kwa nini mtu ambaye ni Mwalimu, Daktari, Mcheza Soka, Anaesaidia Michezo, Mpinga Ufisadi, Nesi, baadhi ya wabunge, baadhi ya mawaziri wasijione kuwa ni wazalendo kama wanafuata hayo yote?
 
Ndo maana nikasema ameonesha element ya uzalendo(kwa kusupport Timu yetu ya Taifa)..Anywaya tatizo hapa nadhani lipo kwenye heading ambayo ni rahis tu kuirekebisha..kazi kwako mkuu QM

Sawa. Ili kuondoa utata, labda pengine niwaombe maMods warekebishe heading ili iwe "Mohamed Dewj ameonyesha element ya uzalendo." kama ulivyopendekeza.
 
Sasa niambie kutokana na hiyo definition hapo juu kwa nini mtu ambaye ni Mwalimu, Daktari, Mcheza Soka, Anaesaidia Michezo, Mpinga Ufisadi, Nesi, baadhi ya wabunge, baadhi ya mawaziri wasijione kuwa ni wazalendo kama wanafuata hayo yote?

Hapo chini nimeweka sentensi uliyoitumia hapo juu kuhusu uzalendo...Dewji ame support...Lakini unasahahu kuna ku "Love and prepared to serve"
Hatuwezi kugawa uzalendo kiulaini tu kwa kigezo cha kusapoti soka na mdundiko....Uelewe hata ku serve inavyozungumziwa ni pamoja na jeshi nk...Kupigana kwa ajili ya Taifa.

Patriotism is a love of and loyalty to one's country. A patriot is someone who loves, supports, and is prepared to serve their country.

Na kwenye sentensi ya mwisho kabisa kwenye paragraph ya definition ya patriotism...Nimeipenda hii na hapo ndipo napopasimamia kwenye mjadala huu...

Others argue that a true patriot speaks out when convinced that their country is following an unwise or unjust action.

Sasa huyu jamma ame speak out against ufisadi?
 
Kwani topic ni kuwa nani mzalendo kati ya Mengi na Dewji ama ni swali la uzalendo wa Dewji uliosababishwa na soka na mdundiko?

Binafsi nisingependa Mengi haingizwe kwenye hili. I mean, sote twajua shughuli anazofanya kuonyesha uzalendo wake kwa nchi yetu. Hilo halina mjadala.
 
Hapo chini nimeweka sentensi uliyoitumia hapo juu kuhusu uzalendo...Dewji ame support...Lakini unasahahu kuna ku "Love and prepared to serve"
Hatuwezi kugawa uzalendo kiulaini tu kwa kigezo cha kusapoti soka na mdundiko....Uelewe hata ku serve inavyozungumziwa ni pamoja na jeshi nk...Kupigana kwa ajili ya Taifa.

Unajuaje hana mapenzi na nchi yake na pia unajuaje hatokuwa tayari ku-serve katika jeshi? Itakuwa si kumtendea haki unapomhukumu mtu ilihali haijatokea wakati amehitajiwa na jeshi na akaingia mitini.
 
Back
Top Bottom