Mohamed Dewji acha kuwabebesha makocha lawama

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
8,542
Reaction score
18,340
Ubahili wa Mwamedi Ndio chanzo Cha yote haya. Halafu MASHABIKI mbumbumbu wanamtupia KOCHA LAWAMA.

Simba Ina wachezaji WATANO TU. Inonga, Chama, Saido, Manula, Kapombe na Shabalala .

WACHEZAJI MIZIGO WENGI MNO.
Kanute, Banda, Ottara, Okwa, Onyango Umri, Sawadogo, Baleke.

WAZAWA.
Nyoni, Boko, KIBU, Kapama, Mkude, , Gadiel Michael, KYOMBO, nk....

Imagine una kiungo MZAMIRU na kanute, ucheze na Mamelodi!!!??
Viungo wasiojua position Yao.
Viungo wasiojua kupiga pass.
Viungo wasiopiga mashuti.
Wasioweza pass za mwisho nk.

Yanga Ina kiungo
BANGALA NA AUCHO top top top players.
Wachezaji WAKUBWA mno.

FISTON MAYERE MMOJA NI SAWA NA PHILI, BALEKE,BOKO ,KYOMBO, KIBU NK.

MO ANAIHUJUMU SANA SIMBA.
KOCHA ASIGUSWE KABISA
 
Halafu hao top players wanacheza losers league.Hii dunia ina maajabu.
Kwenye ligi ya Uingereza Man United walio kwenye form nzuri kapigwa 7 mtungi na Liverpool waliokuwa wana struggle.
Mpira ni sayansi sio somo rahisi kuelewa kama unaropoka tu kwa mapenzi.
 
Kazi yao kupiga makelele tu
Hao wenye 51% hakuna wanachofanya, Simba imekuwa ikibebwa na wadhamini toka zamani, wanachama hawana msaada wowote.
Uwanjani penyewe hadi ofa ndio waende
Jezi hawanunui
 
Ubahili wa Mwamedi Ndio chanzo Cha yote haya. Halafu MASHABIKI mbumbumbu wanamtupia KOCHA LAWAMA.

Simba Ina wachezaji WATANO TU. Inonga, Chama, Saido, Manula, Kapombe na Shabalala .

WACHEZAJI MIZIGO WENGI MNO.
Kanute, Banda, Ottara, Okwa, Onyango Umri, Sawadogo, Baleke.

WAZAWA.
Nyoni, Boko, KIBU, Kapama, Mkude, , Gadiel Michael, KYOMBO, nk....

Imagine una kiungo MZAMIRU na kanute, ucheze na Mamelodi!!!??
Viungo wasiojua position Yao.
Viungo wasiojua kupiga pass.
Viungo wasiopiga mashuti.
Wasioweza pass za mwisho nk.

Yanga Ina kiungo
BANGALA NA AUCHO top top top players.
Wachezaji WAKUBWA mno.

FISTON MAYERE MMOJA NI SAWA NA PHILI, BALEKE,BOKO ,KYOMBO, KIBU NK.

MO ANAIHUJUMU SANA SIMBA.
KOCHA ASIGUSWE KABISA

Bado hajawa serious kuwekeza ktk kununua wachezaji wa maana
Timu zetu zinasubiri wachezaji waliohuru washamaliza mikataba
 
Ninyi mashabiki mpo serious na timu zenu?
Kuchangia timu tu sh 1000 kwa mwezi hamwezi ila lawama kwa Mo utadhani yeye anaokota pesa
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Ninyi mashabiki mpo serious na timu zenu?
Kuchangia timu tu sh 1000 kwa mwezi hamwezi ila lawama kwa Mo utadhani yeye anaokota pesa

Una uhakika na usemacho au ni mpambe wa MO unatetea kibakuli chako cha mchuzi
Km hawez kutoa mkwanja wa kusajili wachezaji wa maana aiache SIMBA huru,,, kwakuwa ilikuwepo na itakuwepo hata yeye na ww msipokuwepo [emoji881]
 
Alipokuwa hayupo Simba ilikuwa inatembeza bakuli na walisajili mchezaji gani wa maana?Chini yake Simba imechukua ubingwa mara 4 mfululizo.Kuchukua ubingwa wa FA na kucheza makundi ya CAF miaka 4.
Simba kabla ya hapo ilikuwa na maendeleo gani?Wanaompinga ni waganga njaa waliokosa fursa ya kuifanya Simba mradi wao.
Wengine ni wapinzani wa Simba wasiopenda maendeleo ya Simba.
 
Back
Top Bottom