Mohamed Dewji ametajwa kuwa miongoni mwa watu matajiri Duniani, ana utajiri wa USD 2.2 Bilioni

Mohamed Dewji ametajwa kuwa miongoni mwa watu matajiri Duniani, ana utajiri wa USD 2.2 Bilioni

MO hawezi kuwa Tajiri namba 12 AFRICA labda awe namba 27 au 30 hivi.
Bro, assumptions can get you killed.
Ebu soma hapa kidogo.

Screenshot_20250403-204244_Chrome.jpg


 
Mo kachangia vipi nchi kuwa masikini?

Mtanzania akitambuliwa na Forbes basi ni mpigaji ila wazungu kama wakina Elon Musk sio wapigaji.

Moja ya dalili za Inferiority Complex.
Unaijua historia ya Mohamed enterprises au unasifia tu? Chanzo chake cha utajiri zaidi ya ufisadi wa kushirikiana na wakubwa wezi ni kipi? Mchunguze kuanzia Singida, utagundua mengi usiyojua na kujua kuwa hujui.
 
Back
Top Bottom