Mohamed Dewji ametajwa kuwa miongoni mwa watu matajiri Duniani, ana utajiri wa USD 2.2 Bilioni

Huyu mnyaturu mwenzetu kabisa, ametuweka Singida kwenye ramani ya dunia....
 
Mo kachangia vipi nchi kuwa masikini?

Mtanzania akitambuliwa na Forbes basi ni mpigaji ila wazungu kama wakina Elon Musk sio wapigaji.

Moja ya dalili za Inferiority Complex.
Unaijua historia ya Mohamed enterprises au unasifia tu? Chanzo chake cha utajiri zaidi ya ufisadi wa kushirikiana na wakubwa wezi ni kipi? Mchunguze kuanzia Singida, utagundua mengi usiyojua na kujua kuwa hujui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…