kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,703
Jesh LA polisi limejitahidi nini?Hongera jeshi LA polisi.
Kumteka?
Kumtafuta?
Kumuachia?
Kutomuua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jesh LA polisi limejitahidi nini?Hongera jeshi LA polisi.
Kweli uswahilini kuna vitukoHiki ni kituko ....
true ni ilikuwa ni pigo la karne kama huyu mtu angepoteaWamebana wameachia, Jiwe siyo Mtu!.
Namshauri Mo asepe atulie zake huko Brunei au Kisiwa chochote cha Pasifiki ale bata miaka saba ipite kisha arudi tujenge nchi!, yeye bado kijana, kupumzika miaka saba siyo ishu!
Hawezi kuelewa ulichomueleza hadi Yesu ampake tope alilolitemea mate machoni pake.Jesh LA polisi limejitahidi nini?
Kumteka?
Kumtafuta?
Kumuachia?
Kutomuua?
Mbona Bahresa na Mengi hawajawekeza Simba lakini wanajulikana?
!!!!!!!!!????????????Jesh LA polisi limejitahidi nini?
Kumteka?
Kumtafuta?
Kumuachia?
Kutomuua?
Serikali itenge maeneo ya uzunguni sisi tuyaite maeneo yenye ulinzi maalumu ili watu walioko hatarishi waishi huko matajiri maceo mawaziri na mabalozi watu walioko chini ya ulinzi maalumu.Hii inaonyesha familia wamelipa ransom!
Moja ya masharti ya ransom ni kutozungumza kuhusu tukio lote!
Kama atazungumza kuhusu yaliyomsibu mpaka akarudi basi hiyo itaonyesha kuwa hakulipa ransom na hakuna makubaliano.
Hoja iliyopo mbele yetu kwa sasa, Je, kama amelipa ransom, nini kwa sasa nafasi ya matajiri nchini kuhusiana na usalama wao kwa sababu kulipa ransom ni kufungua mlango wa biashara ya kidnapping and ransom nchini kwa matajiri.
Kosa la kulipa ransom baada ya kutekwa ambalo nchi za kusini mwa Afrika kama Afrika Kusini na Msumbiji walilianza kwa matajiri ndilo kwa sasa linazidi kuwatafuta kwa kasi zaidi.
Je, kuna uwezekano na Tanzania tukaelekea ambako nchi za kusini mwa Afrika ziliko kwenye biashara ya kidnapping and ransom?
Nchi hii banah!, vipi waliomuokota hawajadai 1bil?.Mohammed Dewji @moodewji is now back home safely. I have just spoken to him and his father 20 minutes ago. In his voice, he’s the usual Mo. So he is okay. Thank you all for your prayers. God is really great. Going to see him now.
Mungu Ni Mwema!
View attachment 904237View attachment 904239
Inawezekana alikua amefichwa hapo mikocheni
Kumtafuta!!swali lingine?Jesh LA polisi limejitahidi nini?
Kumteka?
Kumtafuta?
Kumuachia?
Kutomuua?
Hiki ni kituko ....